Ila all is well, ni mambo tuu ya kusaka pesa ndio yamenitinga... And nawashukuru sana kwa kunijali na kunijulia hali msiponiona huku kwa muda mnanicheck private...M'barikiwe sana!!! Siwezi kuwaeleza how najisikiaga when mkini'text kunijulia hali eti kisa hamjaona new-blog post...it feels sooo good kiukweli... naelewa mnanipenda and I love you guys sana...nawapenda zaidi ya vile mnanipenda!!!
Kiukweli huwa napenda kuwa role-model wa watu... Yaaani to an inspiration to somebody...kumu'inspire mtu in a positive way..
Na pia napenda vile mtu akiniambia ''i am who i am today coz of you'' ama ''nimefanikiwa kwa hili sababu yako'' yaani vile mtu anafanya kitu kizuri kwa vile nimemu'inspire, either ameona mie nimefanya so na yeye akafanya and akafanikiwa, au nimemshauri tuu afanye then kikamletea mafanikio...
I really love that, and huwa nakuwa so proud of myself when nikiona mtu anaona mie nimekuwa chanzo cha baraka zake... Na ndio maana huwa napenda kuwapa watu ideas and msaada wowote possible ili wafanikiwe...coz najua how moyo wangu hufurahia hizo feed back nzuri za baraka zao...
Hata kama ni vile vitu vidogoooo sana, but as long as mie ndio nimemfumbua macho and akawa greatfull aiseee nasikiaga raha sana....ila sasaaaaa pale ambapo sipapendi ama panaponitibua it's how mtu anataka awe kama mimi....no no noooo yaani sio tuu awe kama mimi, yaani anataka awe mimi kabisaaa...
Hivi unaanzaje kuwa mimi???!!!
Dear, mimi ni mimi tuu...na wewe utabaki kuwa wewe tuu...hatuwezi kuwa wote ''Gf'' na ndio maana Mungu aliniumba mimi na akakuumba na wewe... Everyone ana her own purpose in life so usijilazimishe kuwa mimi ukakosa yaliyoandaliwa na Mungu kwa ajili yako...
Pleaseee mnielewe one thing, sikukatazi kufanya what i do wala to dress like me ama what'ever umeamua kufanya ambacho na mie nafanya, noooo wewe fanya tuu ilaaa pleaseee don't copy and paste my life, tena step by step...na ukisikia nimefanya hivi basi wewe kile ulikuwa unakifanya hataaa hujamaliza na wewe umekuja kufanya ninachokifanya... hahahahaaa!!
Yaani huko tena ku'copy na ku'paste kule kwa kulazimishaa hadi kila mtu sasa anaanza kukushtukia, dah...
Au mie ndio muanzishaji trend mujini?????!!!! Hhahahahaaa... Ebu msinipe bichwaaa bana, nikaanza jishaua bureee kuwa lazima kitu nianzishe mie ndio mfuatie!! Sawa eeeh??!!
Unajua kuna ile point ya kuboa then inazidi hadi sasa inakuwa ni kukereketa... So kwa wote wenye tabia hii mjue tuu it's not health, and mimi kama mimi i can feel the love, ila naona kama mmenipenda sanaaa na sasa mnakuwa obsessed...and obsessions aren't good kiafya!!!
Uta'lost and hutaweza kuwa hata robo of who i am maana mie ndio one and only master-copy of myself so what'ever una'try kuwa mie utabaki tuu kuwa the fake-copy...
Try to think beyond ''Gf'', make your own plans and goals and work your ass off to make sure umetimiza malengo yako...niamini mimi kuwa your life will be better than anyones...
Ingawaje pia kwenye ku'plan kunaweza tokea coincidence, your plans na plans zangu zikafanana but there is A-Z so haiwezekani wote tuwe na plans sare-sare always!! Maana kwa sasa mie bado nime'stick na plan ''A''... Wewe je??!!Hahahahaaa....
Don't always play the game, Be the game changer!!
Ni hayo tuu kwa leo!!! Aya, tukaendelee na kazi sasa...Who wouldn't wish kula batraaaa week-end???!!!
Hahahahahahahahahaaaa...
The One & Only Gf...
The Master-copy Of Me!!
Aaaawww...
Kesho na wewe kanunue kofia kama hiyo, it's really nice... Available at Lily's fashions Miyomboni Iringa!!! #SeriousTalk
#Slaying...
My life..My rules.. #GameChanger
Lioness... #SimbaJike
Simba Jike...
Her Majesty...
The Game-Changer!!!
#KidaniKofuliVepeee....
That smileeeee... #WhenIFeelYourObsessions
Ooooh...this look!!!
God Bless You All,
Nawapenda sanaaa...
XOXO!!
No comments:
Post a Comment