As nilishawaambia how i love making new friends kila siku eeeh??!! So leo nime'make more than ten new friends at one place... Yaani nimefurahi mnoooo baada ya kuingia office moja Iringa town na kukuta almost nusu ya wafanyakazi wa office hiyo ni wadau wa blog yangu.... I didn't expect kukutana na marafiki wengi ivo ambao nilikuwa siwafahamu, na nimefurahi sana kufahamiana nao...i felt overwhelmed kiukweli...Asanteni sana marafiki zangu na nimefurahi kukutana na nyie wote personally!!! Nimefurahi kupiga nao story chache na pia nimefurahi walisema eti i am more beautiful vile face to face zaidi hata ya kwenye picha, hahahahahahahaaa.... Asanteni san wapendwa!!!
You all make happiness worth sharing and you all make my dreams worth believing. Nawapenda sana marafiki zangu wa aina zote, jinsia zote, umri wowote na wa hali zozote na mahali popote mlipo...
Thank you all for being my friends and making my life worth living.
Aya, baada ya hayo sasa karibuni mu'enjoy Gf in ma'pose tofauti...
Enjoy....
Kujishaua-pose...
Mshangao-pose...
Kuji'bebisha-pose....
Thankfull-pose...
Hahahahaaa...hili sijui tuliite kusinzia-pose ama vepee??!!
Happy soul...
Gf Herself....
Mie...
Mama La Mama...
Madam Director...
Aaaawww....
Nawapenda sana marafiki zangu wote...
XOXO!!
No comments:
Post a Comment