So nachukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutimiza ndoto zangu... Kunipa zaidi ya yale niliyokuwa nayaomba...Kunipa mwenzi mwema, mwenzi wa maisha!! My Fred, my hubby and the one and only love of my life...Asante sana Mungu wangu!!! And I am proudly standing here and say ''This is my man'' Happy wedding anniversary my hubby....
My hubby was on safari ya kikazi(still is) ila he came back just for kunitoa outing ya kusherehekea miaka mingi ya ndoa yetu... He is such the sweetest man i know, so if i were to advice you single-ladies on choosing a hubby for life pleaseeeee mchague mwanaume mwenye hofu ya Mungu, hiyo tuuuuu yatosha kumfanya mwanaume kuwa the very best partner for life!!! Maana mwanaume anayemuogopa Mungu will lead you to heaven at the end of the day ila you will also enjoy your paradiso here on earth... My hubby hunipatia paradiso yangu duniani na ninaamini tutakuwa pamoja hata mbinguni pia.... Asante Yesu kwa ajili ya huyu mwanaume!!!
Mniwacheeee tuu nimpende maana he treats me right!!!!
Mahaba....
Katika process za kujitafutia njaa ikabidi nianze na kitu cha green-tea
I feel glowing in and out... #Love Is Beautiful!!
Then msosi time....
Full kulishwa mie... #KudekaOnFleek.. Hahahahaaa
You can tell how happy i was... Jamani i was veryyyyy happy!!!
Kitu cha mashed-potatoes na minyama, vegges na chips...lol
With him i become so meeeee.... That's the best part of having your perfect match!!! .
And hey, ofcoz he spends the night then back to majukumu ya kiserikali....
#ShikamooMagufuliMaanaSioKwaKunikatiliHukooo
#Nam'missSanaForReal
XOXO!!
No comments:
Post a Comment