Nimewa'miss mnooo...ila before everything naomba nitoe a short ''thanksful note'' to all of you ambao mnaendelea kunipa support zenu katika kipindi hiki cha masherehe-sherehe...M'barikiwe sana na sana wote mnaonikumbuka katika kamati zenu and everything.. Asanteni sana wapendwa wangu...Blessed!!!
******
Owky sasa it's all about me and my family in a week-end mood... Enjoy!!!!
Hii ilikuwa one of those week'ends za kivivuuuu...After a very busy and successful week then Jumamosi moja mnaamua tuu kulala the whole day... familia nzima mnapata breakfast on bed, full ku'relax then after lunch ''mume'' darling anawaambia mtoke mkachangamshe macho kidogo...
Mama(me) was like noooo bana tulaleee tuu the whole day then the babies wanagoma eti nooo twende gentle-hills kubembea..lol, wanangu na that place jamani hawapachokagi...hata uwapeleke kila wiki still ukiwapa chance ya kuchagua ''outing'' lazima wapataje pa kwanza... sasa wanavyopaita ndio sheeeegdar!!! ''gentoHillos'' hahahahaaaaaa.... (that is Faith, Fred yeye anaweza kusema gentle-hills vizuri)
Basi i had no choice zaidi ya kujiandaa faster...maana going out with them all is an epic...naanzaje kubaki sasa!!!
You can tell hapo tupo ki'usingizi-singiziiii but heyyyy Gf must take pics no matter how......!!
#MiguuYaKichaggaOnFleek
Najibebisha ni vepeeee....
Ni wa kwangu wa halali, relaxxxx!!!
Ni wa kwangu wa halali, relaxxxx!!!
Tumacho sasa...hahahahaaa, hapo vinapata tabu kuzoea mwanga wa jua nje...
Na vi'min vyetu wenyewe... Me & Min-me!!!
Mama La Mama...
Aya sasa safari ikaanza mdogo mdogooo....
My family, my everything....
Imagne wanavyopapenda hapo alafu wakawepo na their dad... Duh, siwezi kuwaelezea how happy my babies walivyokuwa maana walikuwa more than happyyyyyyy!!!
My Fred's & Faith...
Priceless....
My people, wa kwangu kabisaaaaaaa!!!! #ProudLady
Then zamu ya kaka sasa kum'take care dada'ake...
One thing this boy got from his dad ''copy and paste'' jamani ni how ''caring'' he can be... Uuuuuwiii, he is just tooo much hadi najua nikielezea mtasema namfagilia, kiruuuu ''my men'' (Fred's) wanajua kujali jamani, yaani rahaaa sana kuwa nao arround!!!!
#LikeFatherLikeSon
100% nina amani Faith yupo mikono salama if Fred is arround... na Faith pia yupo more comfortable akicheza karibu na kaka'ake... That's why anamuita ''bonge la kaka" hahahhaaa... hii lakini ameniiga mie huwa nikimuita their dad ''bonge la bwana'' lol.... DotComKids though....
Ma'pose ya kaka sasa jamani...hahahahaa!!!
Pamoja na yeye sasa kwenda slider nyingine still macho kwa Faith to make sure anaplay safe... Dah, i am a proud mama of these two!!!
Mungu nilindie na unikuzie wakiwa wanapendana hivi hivi...na wakija wadogo zao pia wapendane more and moreee...
#WadogoZaoVepeeeee......
My girl...
My babies...
Aaaawww....
Na tuishie hapo sasa mie nipo busy kuwatafutia wadogo zao... Hahahahahahaha... Just kidding!!!
Muwe na week'end pouwa sana wapendwa wangu...
Love you all...
XOXO!!!