Anything i post here huwa navi'post kwa mapenzi yangu mwenyewe na sijawahi ku'post anything eti kwa kushinikizwa na mtu wala kushawishiwa na yeyote coz this is my blog... mine and mine alone jamani so if umekereka na chochote here ni bora tuu lawama zote uzielekeze kwangu mwenyewe... Maana hadi nimeamua ku'post kitu hapa ujue nipo tayari kwa outcomes zozote, na ndio maana sionagi tatizo kutoa na my numbers... Nawaelezea maana mimi kiukweli sipendi shari na mtu ila shari ya dharura naimudu sanaaa!!! And i love making friends, more friends kila siku so msinikatili kwa kuwalaumu watu ambao hawahusiki na kuandika hapa, mnilaumu tuu mie nipo tayari kuzibeba hizo lawama zenu...(maana kwangu naziona ni dua la kuku tuu)... Najiamini na i am ready for whatever you feel like bring'it'on!!!
Seriously, msinipotezee mashostitoz mie, maana hadi watu wanaogopa kunipa ''ubuyu'' kisa wataambiwa eti wamesababisha nimewasuta kwa blog...kiruuuu!!! Tusifikie huko wapendwa wangu...hakuna anayeweza sababisha nikamsuta yoyote hapa... If iki'happen ume'feel like nimekusuta here basi wewe jua tuu that ''msuto'' came from whatever happens between me and you... tena direct kutoka kwangu na kwako, na sio eti kisa nimeambiwa na third part... I am not that kind of a person, pleaseeeeee mie ni mswahili ila atleast i got my standards!!!
Mwanamke kujiamini...100%
Malkia wa nguvu....
Tabasamu tamu...
Aaaawww...
Let love lead...
XOXO!!
No comments:
Post a Comment