Happy Saturday dears...
Naomba nichukue nafasi hii kuwataarifu kuwa office yetu ya Kihesa inaenda kwa jina la GF DEPOT, tumeamua kutoa neno ''MIN'' coz we are no longer ''min'' ones, kwa sasa tumekuwa na tumeongezeka so tumeamua kujiita GF DEPOT... na kwa ile ya mjini bado ipo kwa jina lilelile la GF MIN DEPOT na mkae mkao wa kuipokea ya tatu, sijui itaitwaje sasa maana tulianza from ''GF MIN DEPOT'' to ''GF DEPOT'' na sasa itafuatia ............!!!!! Hahahahaaa, nipeni jina wapendwa...
Ila all in all, office zote hizo zipo chini ya Gf herself, so as the ''madam director'' nimeona kuna haja ya ku'change jina kidogoo ila everything will be as vile vilivyokuwa and even more improved...
Bado tutatoa free delivery to your destination (kwa wateja wote wa ndani ya manispaa ya Iringa tuu) pia tunatoa ushauri wa kibiashara (business and financial advice) na tunakusaidia kufanya budgeting, zaidi ya yote tutakuuzia at a very affordable price ili na wewe upate faida...
Mteja kwetu ni rafiki... Na msisahau WE ARE THE BEST IN TOWN!!!!
I loveeee my job....
Muwe na week'end njema...
XOXO!!
No comments:
Post a Comment