PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Thursday, June 30, 2016

#PROUD MAMA... PART THREE!!

Hey sweeties,
Hope wote mpo pouwa, and once again karibuni katika ulimwengu wangu na wanangu...
And if ndio kwanza ume'log-in leo and ukajikuta direct into this post basi jua kuwa hii ni muendelezo wa bata la kuwapongeza wanangu kwa kufaulu mitihani yao...(kindly see the previous posts ili twende sambamba)... And if wewe ni wa siku zote basi i am very sure kuwa unajua Faith ndiye kiongozi wa batraaa hili...yeye ndiye anayechagua tufanye nini na twende wapi...
And since yeye ndiye msemaji wa mwisho basi safari hii aliamua kuninyooshaaaaa...
 ***********************
Kikawaida mie kuna places kama vile sokoni, stendi na sehemu zenye mikusanyiko ya watu wengi huwa siendagi na watoto..so mostly huwa tunapitaga tuu wakiwa kwenye gari and hata kama mie nina shughuli huko mahali and nipo nao,kamwe siwezi kushuka nao so ni lazima niwaache ndani ya gari wanisubirie...
And always wanatamani mnooo kushuka but nawakataliaga coz naona mapurukushani ya watoto kwenye msongamano wa watu wengi yatanishinda... ila kiukweli wanatamanigi mnoooo kushuka na kutembea places like those,hadi wanatia huruma so huwa nawaambia suburini mkue wakubwa nitawaleta...
*******************
Sasa banaaa, Faith si akapata golden-chance ya kuchagua place ya kwenda, hahahahahaa...si akachagua anataka twende sokoni, kiruuu...huyu mtoto anajua kuninyoosha!! Tena soko lenyewe analolitaka hata sio soko la vitu vya kupika-pika vileee, yaani ni soko ambalo linakuwaga mnada siku za Jumapili, ila week-days pia kuna vibanda vinafunguliwa and wanauza nguo,viatu,midoli,n.k (yaani kule kwa ku-sagura)... So sikuwa na namna zaidi ya kutafuta msaada wa kuwa'take-care maana mwenyewe kiukweli ningechemsha...

And before kwenda i had kuwanunulia few bites, maana nilijua kabisa kuwa hawafahamu walitakalo, wao wanaona ni rahaaaa kwenda kuzurura sokoni...
Picking some pringles and juice...
 
And nikakumbuka kuwa Faith's eyes are arlegic to vumbi, and tuendako kuna vumbi hatareee...so i had kwenda kumnunulia kabisaaa dawa ya macho before sijajutia uamuzi wa kuwapeleka mnadani wanangu...


Tukapata dawa then sasa safari ya mnadani ikaanza rasmi...

Sie ndani ya Kitanzini-Iringa town...also known as Magari-mabovu!!!
And thanks God tulivyoenda hakukuwa na msongamano wa watu kivileeee, i guess kwa vile haikuwa siku ya mnada... 
 Faith was veryyyy comfortable yaani hadi nikawa namshangaa, nilitegemea wakifika watakuwa like kuku wa kisasa vile ila alinishangaza hatareee, alikuwa very free..ila sasa kwa kaka mtu,hahahahahaaaa...my boy, yaani alikuwa uncomfortable hadi akawa anatamani arudi atusubirie kwenye gari, hahahahaa...hajazoea hizi mapurukushani and akaona kama zinam'boa tuu... Yaani mie nikabaki tuu nachekaaaa,maana sio kwa kumkereka huko tulivyomkera kaka, hahahahahaaaa... (nilikuwa nacheka maana na yeye pia huwa anatamanigi mnoo kushuka maeneo hayo,and Faith alivyochagua yaani Fred alimsupport hadi nikashindwa kuwakatalia..yaani ni like yeye ndie aliyekuwa back-up ya Faith,kuwa akichagua tuu then nikatae yeye ndie asisitize hadi nikubali and ni kama alikuwa anamuelekeza pa kuchagua from the start, so panavyomshinda yaani ni full kichekesho...lol)
 Hadi anatembea mikono nyuma, hahahahaa... Sorry boy!!haya ni maeneo yana wenyeweeee...kina sie!!hahahahahaa...
Hajisomi yaani....
hahahahaa, wish you guys mngekuwepo maana yaani was full burudani...
Faith kamzururisha hadi place yenye toys, hapo ndio kidogooooo akachangamka..ila ndio kwanza kuonyesha alichokipenda mwanangu ana'point kwa mguu...hahahaha...hataki tabu!!!...namkumbusha kila saa dont point kitu kwa mguu au kukikanyaga, anasema if they didn't want ivo si wasingeviweka chini... hahahahaa...
So yeye kaona kwa vile vipo chini ni sawa tuu hata kuvikanyaga...hahhhahahaaaa!!!namgawa jamaniiii kaka...
 
 Hahahaaa,hapo nilimpatia picha ya kukanyaga vitu vya watu..lol... Ila good thing kila walipopita watu waliwapenda and since Faith was super kuchangamka kama mama'ake yaani was super fun!!!

Faith akajipatia new black shoes...

Fred got some toys... we were all happy and tumechoka hatareeeeee!!!
Bites tumemaliza, juice zimeisha and tuna njaa ya ajabuu...
So we went for lunch somewhere alipopachagua sasa Fred, maana aliona hizi mambo za kumwambia tuu Faith achague, anaweza kwenda kutulisha chips dume for lunch...hahahahaaa!!! 
And tulijua tumem'boa so tulikubaliana na uchaguzi wake kiroho safiiii kabisa....
Heavy lunch... Foilled-beef, vegges and ugali, sio tuu sababu ya njaa zetu aiseee the food was soooo yummy yaammyyyy.... Kilikuwa na ladhaaa, kitamuuu and cha kushiba!!!
 
 
 
After dakika kadhaa za serious-eating then wakabembea kidogo tuu, wakachemsha...wenyeweee wakasema wamechoka sana wanataka tuu kurudi home wakapumzike...
yaani wanalazimisha mood ya kubembea ila inagomaaaa... Wapo hoiii hatareee... tukajiondokea zetu...

 
Baada ya kuondoka hapo, tulienda straight home and nikamuwekea Faith dawa ya macho kabisaaa... wakaoga, wakalala... Faith alilala sanaaaa, ila Fred aliwahi kuamka akaanza kuangalia katoon till muda wa something special ulipofika aiseee ilibidi tuu tumuamshe Faith...maana tulishindwa kuvumilia...hahahahaha!! 

Do you wish to know about ''something special'' kilichosababisha hadi Faith aamshwe???!!! 

Stay tuned.....
Wish niendelee ila na mie pia nipo hoiiii, But kiukweli hii siku iliisha fresh mnooo, yaani kulikuwa na mambo matamu matamu home, ila sio mbaya nikayaelezea kesho... Stay tune for mapicha picha matamu matamuuu...
Ila sasa yatafatia in the next post...

Nawapenda mnoooo...
XOXO!!

Wednesday, June 29, 2016

#PROUD MAMA.... PART TWO!!

Hey all,
Karibuni katika ulimwengu wangu na wanangu...And this post comes to you kwa udhamini full wa hubby'akee mie!!! #hahahahaa, asante sponsor wangu wa nguvu!!!

Alright guys, leo sasa tupo in bata la kuwapongeza wanangu kwa kufaulu vizuri masomo yao, especially Faith...she did the bestttt... Ingawaje Fred nae amefaulu vizuri, tena vizuri zaidi ila yeye ni kawaida yake and kashazoea kupata ma'good times kibao for kufaulu ila kwa Faith this is her first time and i feel like making her awe anataka tuu kufaulu kila siku ili aendelee kupata ma-good times kila siku... Ofcoz tupo na Fred pia katika hizi good-times zote ila wote tunajua they are special and dedicated to Faith...sie tunamsindikiza tuu ila yeye ndie anayechagua pa kwenda kula bataaaa...

 
 Na place ya kwanza ilikuwa ni hapo...somewhere in Iringa Town!!!
We had our late-breakfast date then playing moments and mwishoni a lil'shopping for us all... 

Enjoy....
The background though... mmmh, ya nyuma ya Fred is scary eeh?? but nice... and kwa Faith its so traditional, love it... kiujumla i loved the place!!!thanx Faith kwa kuchagua this place, and thanx sana kwa kufaulu hadi kutufanya tuwepo hapa... you are the best my totozzz!!!!
 
 
After a heavy breakfast (chapati, meat-samosa, black-choco cake and fresh milk) then ni michezo time...
And kucheza place was greatttttt, with ka'small house for them and vi'toy vya kuchazea, vi'puzzle na mazaga zaga kibaooo...


 After kucheza wakapumzika kidogo, having juice ndani ya kanyumba kadogooo (ambacho mama hawezi hata kuingia,lol) then ukafatia muda wa shopping kidogo before hatujam'join dad for late lunch-date...
 
 
Playing with snake-toy..Uuuh!!!
We buy few toys...cultural shoes, t-shirts and small bags for Faith's ear-pins!!

It was fun shopping with these two... #Motherhood-experience on fleek!!
#Priceless...
Happy kids...
 
 
And kwa leo tuishie hapa, lets call it end of part two... Stay tune for #Proud Mama Part Three... bado ni bata tuu la Congrats kwa my F-babies especially Faith kwa kufaulu vizuri katika masomo yao...


Our God Is Good,
XOXO!!

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT