Leo nimegundua it's almost two weeks now nipo kwa this new-look and sija'post picha hata moja... Duh, naona uzee unaninyemelea... Hahahahaaaa... Just kidding banaa, still nipo in program ya kupunguza mwili, nikipungua tuu mtaona mapicha-picha yatakavyoongezeka...ila for now mie nitaji'post mara chache so mtakuwa sana na fashionista Faith, ama vepeeee??!!
Enjoy my bleached hair look...
Nimezipunguza nywele kidogo...
nywele zangu huwa zinakuwa haraka sana that's why huwa sionagi shida kuzinyoa anytime niki'feel i need a new look... And nahisi i love me some more nikiwa na short-hair...and mostly nipo very confident na kichwa changu, so hata upara mie nikinyoa still bado nakuwa comfortable na najiamini kuwa bado na'rock!!!!!

It needs a confident lady to do that to her hair... Full bleached short-hair, hahahahaaaaa... Before hujaiga hii please jitizame kwa jicho la tatu!!!! #JustSaying
Kibonge Gf...
Nawapenda mnooo....
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment