Meet my girl rocking the kidoti-style...
I adore this girl jamani, hadi naona hakuna neno linaloweza ku'express how i feel about her... Nampenda hadi naogopa, this is very serious yaani naogopa haswaaaaaaaaaaa!!!!
That's why namuomba Mungu siku nikitaka mtoto wa tatu anipe tena wa kike, maana kuexperience this feelings ni kitu ninachotaka kiwe cha milele...so nahisi wakiwa wawili nitakuwa nime'double the feelings...hahahahaaa!!!!
I really love my baby girl mnoooo....Na sijawahi mzoea, kila siku namuona mpya kwangu...
The smile....
Cute, Happy life...
Fashionista mwenye vigezo na ubora wake....
Her own natural hair...
Yaani hapo hakijaongezwa kitu, ni natural hair na hair-band tuu ya kutengenezea kidoti style....
And bila kusahau her one and only msusi ni mama la mama Gf, i loveeeee doing her hair...
And bila kusahau her one and only msusi ni mama la mama Gf, i loveeeee doing her hair...
And najifunza mengi sana kwenye kumtunza nywele zake...maana that the time we connect naturally, we chart, tunapiga umbea kidogooo hadi anasinzia mwenyewe...akiamka tayari nimemaliza kumsuka!!! And she lovessss nikimchezea kichwa chake, she trust my hands mnoooo....
My totoo...
My shogaa wa ukweli....
Fashionista...
My F-baby girl...
My bff...
Faith wangu...wa kwangu kabisaaaa!!!!
She is simply amazing....
Aaaawww....
Muwe na week njema...
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment