As i promised you kuwa me and my F-Babies gonna come with products ambazo every member of the family atakuwa anazi'demand, na sasa here we are...
GF SUPER SEMBE ni unga safi wa mahindi... Ni unga wa ugali(my favorite food for days) full processed and packed by me, myself and i.... GF SUPER SEMBE umeandaliwa kwa kuzingatia usafi na ubora wa hali ya juu kwa ajili ya afya bora ya familia yako!
For now GF SUPER SEMBE itapatikana at GF SHOP only... duka la GF lipo jirani kabisa na GF MIN DEPOT(Opp jengo la CCM Mkoa)...
We opened a new shop ili kukuwezesha wewe mteja wetu kutupata kiurahisi zaidi and kwa vile kuna so many good products tunatarajia kuwa nazo so tumeona ni vyema all these products ziwe under one roof called GF SHOP...
About ''GF SUPER SEMBE'':
- So far we only have a very simple packages za 1kg of GF SUPER SEMBE, hizo packages ni maalumu kwaajili ya kuutambulisha unga wetu, na pia bado tunalifanyia kazi suala zima la packages ili tuziboreshe zaidi na tuanze kuwa na packs za 5kgs, 10kgs and 25kgs...
- Hadi sasa GF SUPER SEMBE ndio bidhaa-mama (main big product) inayopatikana at GF SHOP... Kuna other products pia ila huwezi fika GF SHOP na usishawishike kununua GF SUPER SEMBE... Huu unga ni habaree nyingine atiii!!!!
- Na hata kama wewe ulikuwa hujawahi kupenda Ugali, ebu njoo jaribu kula ugali uliopikwa kwa GF SUPER SEMBE, wallahy usiojirambaaaa na kutamani kula ugali kila siku basi urudi tuu nikurudishie hela yako...seriously, nauaminia sanaaa huu unga!
Waswahili huwa tunasema ''Kizuri chajiuza,kibaya chajitembeza'' sasa embu mie nisiseme mengiii sana about huu Unga maana kiukweli unajiuza!!!
Ila tuu nikuambie na wewe mjanja ambaye ulikuwa huufahamu, aiseee...njoo GF SHOP nikushangaze na kitu cha super sembe!!!
Asanteni kwa kunielewa mwayego'z...
Before sijaanza purukushani za kutafuta hela sasa ebu pia upate muonekano mpya angalau kidunchuuu tuu wa GF MIN-DEPOT's... It's black and white, so kwa sasa maduka yangu yote yapo in muonekano mmoja wa full white na touches za black...
The depots look...
Nawapenda sanaaaa, yaani mnoo!!!
XOXO...
No comments:
Post a Comment