Let me tell u something kwa faida yako, kubali ama kataa i dont care, mie bora tuu nimekuambia nitabaki na amani teleeee...
"Mwanamke kupendeza shostitoz.. A lady should look good all the time, and here ninavyoongelea to look good, simaanishi tuu uwe unavaa nguo mpya kila siku then ukasahau your house, your kids na kila mtu anayekuhusu..."
Looking good here means uwe vizuri from home and everything..
Sio wewe kuvaa nguo mpya kila wiki alafu mwanao ni hadi Mungu asaidie, tena hapo ni iwe x-mass, easter, new year, idd-mubarak ama birthday party inahusuuuuu!!!!!
Shame on you....
Umependezaaa mwenyewe masifa kibao,Picha kila siku una'post wassap,fb na insta, mwanao unaona aibu ata kumueka profile picture, kama uongo mpige picha tofauti mfululizo for one week uwe unazi'post fb, insta,twitter na usisahau kuni'tag ili uniumbue... Ama basi nitumie wassap...
I dare you!!!!! Huweziiiiiii...
Ukijitahidi sanaaa utakuta nguo zinazoeleweka ni tatu tuuu... tena moja ishamvuka maana ilikuaga ya x-mass ya mwaka jana.. Hahahahaaaa, sicheki maana nafurahia that nonsence, nakucheka wewe mwanamke hovyoooo!!!!Apo usitake ni'upload picha za my F-Babies a whole month in different classic swaggers...maana i can!!!!
Aya sasa, tuje swala la nyumbani... Mimi kusema ukweli si mpenzi wa kwenda kwenye nyumba za watu, ila pale inapotokea nimeenda for emergences napatwaga na shock of my life.... Heeeeeee!!! shost ndio sitting room yako hii???
Lazima nikuulize kwa kweli, maana its better to have few friends who are real kuliko kuwa na marafiki unajaza HOOD tatu and they are all fake!!!
Na pia nikikuta kwako panaendana na wewe yaani sinaga roho ya kimasikini, nitakusifia adi unenepe ghafla... Waulize wanaonifahamu vizuri wakuadithie, maana hadi napatwa na wivu, good thing wivu wangu ni wa maendeleo, nitachacharika hadi na mimi kwangu nipaeke pawe kama kwako and even better!!!
Pendezesha kwako kutokana na uwezo wako!
Sasa kwa wale wasiojielewa wanadhani eti mtu hadi uwe na kipato cha 2m per month ndio kwako pawe vizuri, nooooo!!! Ata ukiwa na uwezo mdogo tuu bado unaweza ukaweka nyumbani kwako pawe na muonekano wa kijanja. Pamba nyumba yako kwanza ndio ujipambe na wewe apo nitakuona mjanja!!!!
Chagua decorations simple tuu......
My sitting room middle table imepambwa na red Apples!! |
Kwa gharama za kawaida kabisaaaa Nyumba inatoka bomba kwa maua
lovely |
Go to the next level of decorations....
My artificial visamaki to decorate my house... |
Pamba nyumba hata kwa wadoli na picha zenu basiiii.... In affordable prices and still looks Aaaaaaw!!!
Front view of my sitting room |
Do the colour mix to add up urembo wa nyumba yako....
Full view of my sitting room.... |
Make it as simple as you can, ili nyumba iwe na space and air too....
My dinning! |
Your kitchen defines what type of a woman you are.....
simple... |
Jiko likiwa pouwa ata chakula kinazidi utamu.... |
Jikoni vyombo bibiii!! |
Hapo sijafika nipatakapo mie!!!
Nitakapofika sasa in ""my dream house"" #Mkimbizi# ndio kitaeleweka maana natamani vipya kila siku....
Sijui furniture ziwe iviii
Colour mix |
napenda ivooooo |
Aaaaawwwww!!!! |
Ama sijui patakuwa kama kwa Wema Sepetu???
animal prints decor |
Ama simple kama kwa my Bro???
simple and classic |
Am sure 50% patakua hiviiii....
Au iviiii
Dinning iwe ivi eeeh??!!! |
Yaani hapa bado nawaza....
How come mie naongelea maendeleo and bado wewe usiejielewa unaongelea upuuzi??? Hivi hujishangai?? Style up my dear....
NB:Please get the courage and send me picha za Classic houses.. Sitting rooms,Dinning na jikoni sana sana, ata kama na wewe unapakubali kwako, naomba unitumie...
Nawa'love wote....xoxo!!!!
realy aaw my gf
ReplyDeletepazuri,nikaribishage njegere pia. kodi ya nyumba tuu adi umlambe miguu mume wa watu na msg mia kidogo ndio kuremba nyumba tutaweza.. haloooo,,,,labda ifike zamu yake, maana pale ni kwa zamu.com
ReplyDeleteaction speaks louder than words.... tuma na wewe kwako tupaone, acha vijembe hewa dearr!!
Deletekaribu njegere.. hahahaa!!
DeleteTeam gf, we r talking maendeleo
ReplyDeleteNimekutumia kwangu watsup hahaha
ReplyDeletenimezipata mine!
DeleteThanx all...
ReplyDeleteUnapendelea gf..nimekutumia kwangu hupost
ReplyDeleteTupia na zangu,chec ur wasup
ReplyDeleteWakikutumia tuwekee basi tujifunze zaidi
ReplyDeleteBadala upost picha nimekutumia naona umeanza umbea..nyau ww!
ReplyDelete