Siku chache kabla ya Mwezi Mtukufu wa
Ramadhani kuanza, ndoa ya Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani
kupitia Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ na mumewe anayepiga mzigo
TV1, Ezden Jumanne yavunjika
Awali aliolewa na Mohamed Mchopanga ‘Mchops’ kisha Gervas Mbwiga ‘G’ na wote walimwagana kwa talaka.
NB:hutaki kupewa pole,basi hongera!!!ila i am very sad, na sijaipenda kabisa iyo
Harusi day!!!! |
Dida ebu kumbuka enzi za mahaba niue,niteke kama boko haram!!! |
Mnapendezeana balaa.. Hope mkituliza akili zetu mtarudiana.... |
Tukio la kuvunjika kwa ndoa hiyo iliyofungwa mwaka jana (siku tano
kabla ya Mwezi wa Ramadhani kuanza) likikamilika kwa talaka, Dida
atakuwa ametimiza idadi ya ndoa tatu kuvunjika.
NB:hutaki kupewa pole,basi hongera!!!ila i am very sad, na sijaipenda kabisa iyo
bora,jimama zima na katoto
ReplyDeleteLove doesnt ask why.... style up!!!
Deletemakubwaaaaa,wee ma fay nikajua iyo utaimezea..ww rafiki wa mashaka kumbeee(kiddn lv)
ReplyDeleteAmna banaa, lol!!! Nipoje faster
Deletesafi sana..akome. ezden nae mwanaume suruali
ReplyDeleteJamani am sad for them
ReplyDeleteDuh....
ReplyDeletebora Ezden alivyojiondokea wenzake wawili wote walishindwa yeye ndiyo angeweza.
ReplyDelete