Nadhani mtakubaliana na mie kwa 90% katika hili swala.. Zamani wale wadada wanaojielewa walikuwaga wanasoma zile easy courses, na fani zao pia zilikuwaga ni zile rahisi rahisi... Ilikuwa sio rahisi kumkuta mdada anayejielewa yupo anasomea engneering, u'daktari au archtec... Warembo wengi zao ni Arts and waliojitahidi kidogo wapo in Commerce ama maendeleo ya jamii... Njoo sasa kwenye zile courses ngumuuuu....duh!!! Lazima ukutane na sura za kazi pia.. hahahahahaaaaa... I dont say kuwa walikuwa wabaya ''ugly'' noooo, walikuwa wazuri ila hawajielewi kabsaaaaaa......
Kwani uwongo???????
Ila kwa hiki kizazi cha digital kweli kimenifanya niamini kuwa mtu kuwa msongo doesn't mean usiwe fablous...
Hujawahi fail before so you'll never fail now... Be happy and pretty each and everyday my kipenzi!!!!
Hope you all dopest too, na ndio maana mkamchagua Debby awe class'representantive wenu... Mshawahi ona CR katika chuo kinachojielewa awe kilazaaa??? mbadooo!!! Hahahaaa...
DoroBoboo!!!
Stay fabulous always!!!
xoxo...
hongera debby, na hiyo shape ya JKT endelea kumaintain
ReplyDelete