Habari za asubuhi wapendwa,
Duh, yaani leo nimeamshwa na habari hii ya kusikitisha... Japo picha zinashtua kidogo lakini nimeona tuu niwape na nyie mzione, mjionee hii Tanzania yetu inapoelekea jamani...
Eeeeh Mungu baba tusaidie sie jamani.....
Tukio limetokea usiku wa Jumatatu July 21,2014, na hio
picha ni Moja ya kichwa cha Binadamu ambacho kimetolewa katika moja ya
Mifuko iliyokutwa na maiti hizo
Inasemekana maiti
zipo zaidi ya 50 na zote zimechunwa ngozi. Ni gari
lilikamatwa likiwa linaenda kutupa takataka kumbe ndani lina izo maiti, na dereva kuulizwa
alisema izo ni taka katoka nazo interchick. Kiruuu!!!
Police bado wanaendelea na uchunguzi...
Thanx wote mlionitumia hii habari, please muendelee kunipa updates....
JAMANIIIIIIIII
ReplyDeletenimeckia eti ni zile wanazojifunzia wanafunzi wa udaktar, ila c wangezizika fresh tuu, na co kuzitupa jalalani
ReplyDeletekeleuwiiiii yee!!!
ReplyDeletejamani mwe
ReplyDeleteDuuuu, nimeisikia pia itv
ReplyDeleteMungu tusamehe!!
ReplyDeleteUnyama wa hali ya juu huo
ReplyDeleteUnyama wa hali ya juu huo
ReplyDelete