PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Friday, October 17, 2014

MWACHENI SITTI MTEMVU SASA JAMANIIIII... NDIO KASHAKUWA MISS TANZANIA!!

Dears...
Habari za Ijumaa, mie nipo pouwa kabisaa... Ila tuu leo ngoja tuongee about hii issue ya Miss Tanzania 2014..Hahahaa, nawaruhusu m'comment chochote maana huyu sio ndugu yangu wala sintajali, ila mie naandika yaliyomo moyoni mwangu!!!
Jamani kuna watu ni wafokonyoko.... Kiruuu, yaani wamemchambua mdada wa watu hadi ametia huruma. Huko Instagram ndio kumechafuka kabisaaaa, kila mtu Sitti Sitti.... Anawapa pressure eeeh???!! Anawanyima usingizi mrembo wetu au??!!


Hivi kwanini mkiona mwenzenu mambo yamemnyookea lazima mtafute dosari????  Mie nimemfahamu kwenye social media tuu kwa muda mchache ila I can tell huyu mdada ni hustler, yaani ni fighter wa ukweli na yupo ready to do anything ili atoke kimaisha.. Which is very impressing..  Na tulichotakiwa kukifanya sasa ni kum'support na sio kumponda na kumzodoa kwa maneno ya kashfa!!!


Bidada huyu alishakuwa muigizaji, alisha'work Mtemvu foundation and so much more... Hiyo inaonyesha ni jinsi gani anajichangamsha kutafuta maisha, good thing sio kilaza..Eeeeh, hakukimbia umande na ndicho kinawapa pressure ze mbululazzzz sasa... Ooooh, ana Master and she is 18???!! Ulitaka awe 81 ndio awe na Master, nyooo!!!
 

Wivu tuu unawasumbua, hao Miss Tanzania wengine waliopita ni nani ambaye alikuwa hadanganyi umri wake???? May be 10% ndio walikuwa wakweli,  90% walikuwa wanatudanganya ila kwa vile hawakuwa na elimu tulikuwa tunakubaliana na ujinga wao.. Sasa kaja msomi, watu matumbo joto... Ma'star kibao tuu kwenye swala la umri ni waongoooo, ila nyie mmemuona tuu Sitti eeh... Mkalale mbele hukoooo!!!! 
Ebu muangalie Age za washiriki wa Big Brother, hahahahaaa... mtachizika... maana mtu kabisaa ana maumivu ya umri usoni ila yeye anasema ana miaka 22 na nchi zao zinawapa 100% support wakati mtu anaonekana kabisa yupo in 30's... Sembuse Sitti wetu jamani hata kama ni mkubwa ila bado ana baby face...lol

 

Au kile ki'faransa ndio kiliwachanganya ubongo??? Hahahahaaaa...
Hao wenye vigezo walishawahi kutufikishaga wapi huko Miss World???? Sasa badala muwaze ata may be Sitti yupo more exposed na maisha ya mbelee, ashapitia vitu vingi, ana elimu yake nzuri and ni mrembo jamani, labda anaweza tutoa kimaso maso huko Miss World, nyie ndio kwanzaaaa mnaanza kufokonyoa mambo ya kum'let down...
 
Hahahaaa... Ata kama amedanganya kila kitu sasa ndio kashakuwa sasa Miss Tanzania 2014, alafuuuu wengi wenu nyie mnaomponda ndio kwanzaaaaa wenzangu na mie, mngeenda na nyie basi mkashiriki kama nyie ndio wenye vigezo... Mwacheni mtoto wa watu afanye yake...
Ebu post picha yako tuangalie kati yako wewe na Sitti nani anafaa kushiriki Bibi Bomba??? 
Awe na miaka 18, 25 au 27 ndio kashakuwa Miss Tanzania... Awe na watoto wawili au mmoja ndio Miss Tanzania tayari sasa... Awe mnene kama G au ki'portable kama Eve ndio kashakuwa Miss Tanzania ivo ivo alivyo, Awe amegawa uroda kwa Lungenda au ma'judge wote ndio tayari yaani kawa Miss Tanzania, awe amehonga pesa ndio ivo ivooo Miss Tanzania... Hahahahaaaa!!!
Muongee weeee, mwishoni ndio tayari kashapata title yake Miss Tanzania.. 
And according to Madame Wema Sepetu ''Once Miss Tanzania, always Miss Tanzania" 
Mtalamba ndimu muongezee na vinegar, Sitti Mtemvu ndie kashakuwa Miss Tanzania 2014!!!

Hata mkiandamana avuliwe taji, itakuwa fitina zenu tuu ila mie naona title kashaipata sana Our Miss Tanzania 2014 ni Sitti Mtemvu... Na ame'keek mujini sio kitoto.. Hahahaaa!!!

 
Mie nawapenda woteeee....
XOXO!!

8 comments:

  1. hahaha kwenda uko nawe

    ReplyDelete
  2. Yani ww ndio wa kwanza kumtete uyo Mrs Tz, kweli ametia huruma huko insta ni sheegdah

    ReplyDelete
  3. Watu wame calculate age na pacpot nje njee bado na drvn lesen juu akajambe mbele uko hafai kuwa miss tz

    ReplyDelete
  4. Wala ata sio potaboo Hahahaaa aku arudishe tajiii hatumtakiii miss huyo au bibi bomba??? Na watu wamesema watamripoti miss world akataliwe. Tunamtaka jihan

    ReplyDelete
  5. wabongo wivu umetuzidi, tumuache binti wa Mtemvu wa watu alale

    ReplyDelete
  6. hatumtaki ajuza huyo, g na ww umenidisapoint kumpa sapot huyo malaya

    ReplyDelete
  7. Hakuna kutetea ujinga, ndio maana tutaendelea kuwa wajinga na wapumbavu kama tunauwa na maoni ya author wa page hii. Hata ikibidi tutapeleka taarifa miss world watajua la kufanya maana Tanzania yetu tunaijua jinsi ambavyo imekaa kwenye masuala ya rushwa na udanganyifu.

    ReplyDelete

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT