Leo nina huzuni jamani, najua mtakuwa mmesikia kuwa aliyekuwa mpenzi wa Lulu ( Secky = ambaye ni mume wa mtu) jana amefariki baada ya kuangukia meza ya kioo... Dah, too sad jamani maana jana was Lulu's birthday...
Jamani jamani jamaniiiiiiii... Why did he have to die siku ya birthday ya mpenzi wake jamaniiiii?????!!!!
Uuuuuuwiiii, najiuliza maswali yasiyo na majibu hapa hadi natetemeka... I am so sad for real...
marehemu Secky hapo akiwa na Lulu...
Marehemu Secky hapo alikuwa na mke wake..
Dah... Die too young jamaniiii... Rest in peace Secky..
Pole sana mke wa Secky, pole sana Lulu, poleni pia wote mlioguswa na msiba huo!!!
Bwana ametoa na Bwana ametwaa,
Jina la Bwana na libarikiwe..
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment