Do you know kuwa sasa in fashion world zile styles za zamaniiiii zote ndio zinabamba???? Yes dear... zile swagger za long time ago sasa ndio habari ya mujini!!! But this time zimekuja na manjonjo ya ki'digital
Mie nishajipatia my vintage styles kibao,nyie kaeni tuu mkao wa ku'enjoy apa... Faith pia kasharuka na yake... Chezea mutoto anaezikumbuka enzi za bibi weweee... Hahahahaaa
Wewe je???!!! What are you waiting for.....
Faith In a Vintage Cape |
Blogger @dvjfashion |
Blogger +skittlis fashion |
Vintage red min-skirt |
Upo juu my fashionista.... |
Faith kashatufungulia njia.... what do you have darling????!!!
NB: Vintage fashions sio lazima ziwe of red strips tuu...noooo... kuna designs nyingiiii sana za kizamaniiii na sasa zimerudi kwa speed ya 360... Sasa na wewe ikumbuke mojawapo (muulize hata your granny)and then ujilipue nayo ki'digital zaidi na wewe uruke juu #Ba ba ba banjukaaa tuu#
Love u deadly...
xoxo!!!!
No comments:
Post a Comment