Nimekuwa toooooooo busy But nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kila jambo, naamini ananiwazia mema zaidi ya yale ninayojiwazia ama anayoniwazia mwanadamu yoyote...

And naamini after this hard-work kuna siku nitajipatia bongeee la vacation...cant wait!! #HardWorkPays #ThankYouJesusForMyLife
Mawazo ya Mungu sio sawa na mawazo ya mwanadamu!!

I love my life...Sometimes it gets hard, tiresome and too busy but naamini hata dhahabu lazima ipitie kwenye moto ili ing'ae vizuri.. #MimiNiDhahabu

#GodWin

Mimi Ni Dhahabu...

God win... #Mipango ya Mungu itimie maishani mwangu!!

Neema na Baraka za Mungu zimiminike more and more!!!

I feel the blessings....

Love you all...
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment