After chai(see the previous post for chai)Hahahahaa, sasa tupate a short break then tusubirie lunch na dinner!!
M'cute aliyefanana na dad akee...
Daddy's little girl... Mutoto msafiii anavutia hata ku'pose for a pic, na mwanamke ukiona humvalishi mwanao nguo nyeupe ebu ji'check check mara tano tano... Labda unakaribia kuwa kama shoga-uyoga wa mie.... Hahahahahaaa
My baby girl... Too proud of her!!
u'hair vepeeee??!!!
Hahahahaa, talking about u'hair jamani operation say no to ukoko kichwani bado inaendelea, kwa msaada wa kuokoa ndoa za watu basi nitawapa products za kufanya kichwa chako kisiwe na ukoko.. Ni products za bei rahisi and affordable kabisaaa...
Make sure you are always here ili usimkere beibe na harufu mbaya..hahahahaa!! Hadi beibe anajuuutaaaa kukushauri kuvaa hijab,astaghafrlai!!!unawaaibisha wavaa hijab, hijab sio la kufichia uchafu kichwani mweee!!! Nimesahau kumbe nipo in a short break..Hahahahahaaa!!!
m'sweet wake na mie...
Baby girls are blessings...
Nawapenda mnooo...
NB: Siruhusu matusi wala maneno yasiyo na tafsida in my blog, hapa ni facts tuu...Matusi matusi alinikataza mamaa, hahahaaa!! Ila if una kombora lako wee liachie tuu then nita'allow comment yako... Say no to matusi, hapa facts tuu hadi mtu pressure inashuka...
Ama vepeeee??!!
Kulala mzungu wa nne kisa harufu mbaya mwilini haikubalikiiiii... Mwanamke shurti ngozi ya mwili iwe nyororooo, unapaukaje mtoto wa kike??? Hata gryceline ya buku unashindwaaaaa ama ndio tabia??!!
Jiandae maana you must change, hata kama tabia ni kama ngozi my dear hapa nitakuchuna hata kwa maji ya moto, you must change!!!
XOXO!!