Today's tip: Dears, ni furaha kwa kila mzazi especially mama kuona mwanae anakuwa smart, msafi na mwenye afya all the time... That's what i believe... so huwaga napatwa na mshtuko sana kuona mtu unamwacha mwanao kihasara hasara yaani hadi sio vizuri, wewe mtu mzima ukiwa rough na mchafu labda tutasema ni tabia (Hahahahaa) but hadi kwa mtoto???!!!Loh, au ndio na wewe ulianzia utotoni??? Dah..haipendezi bana, mwanamke jitahidi...unatia aibu and unamkera hata sweet'heart lotion wako, hahahahaaaa.... And kutwaaaa kulalamika mwenzako akichepuka, asichepuke kwa hali hiyo inahuuuuuuuu... Hahahahaaaa!!! Badilika, jipende na michepuko haikubalikiiiii, na nyie wanaume basi hata kama tukijisahau muwe mnatukumbusha kimya-kimya chumbani...sio yawe matangazo hadi kwa yasiowahuuuuu... Ama nenee???!!!
Na kuwa msafi and kupendeza sio mpaka uwe bilionea, ni wewe tuu na plans zako...
#NguoMpyaMpakaSikukuuHaikubalikiiiii
Enjoy my fashionista's look...
Mutoto musafiiii mwenye sura ya daddy ake....
Mnuno pose matata!!
That smile though... Hahahahaa!!!
Aaaaw...
Like mother like daughter....
sio kwa kurembua huko...hahahahaaaa,hadi umelala dorooo!!!
Soo clean, soo sweet...
My baby girl....
u'hair vepeeee...
Hahahhahaaa, next time nitarudi na tips za usafi wa nywele eeeh??? Kwa udhamini wa Faith...
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo... My fashionista!!!
Clean, Smart & Sweet Faith...
She loves white... Her favourite colours ni white,pink and red!!!
Nice week end everybody!!
XOXO..
helpful article, but the pictures are a lot broken. can it be fixed?
ReplyDelete