PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Wednesday, December 30, 2015

PROUD OF MY LIFE....YES, VERY PROUD!!!

Hey everybody,
Mie leo nina flue flue but nipo super happy and ngoja niwape ma'story story ya kunywea chai... Hahahaaa, you better have a cup of tea pembeni ukiwa unanisoma hizi mambo, tena kama una pressure ya kushuka make sure na ka'juice fresh pembeni....
Dears, you all know how proud i am for my life eeeh...yes, sio siri na wala usiongee taratibu kuhusiana na suala zima la mie kuringia maisha yangu maana its very true jamani i am sooo very proud for this life... Na hivi mnajua why i am this proud???!!!
Hahahahahahaaaa...sababu ni nyingiiii but leo before the year ends ngoja niwape chache tuu, ili next time mnavyoniongelea mie na mashauzi yangu msisahau pia kuongelea the reasons behind... Ama neneeee???!!!
Kwanza kabisa haya ndio maisha ambayo daily nilikuwa namuomba Mungu kuwa nayo... Maisha ya kuwa huru(endependent) na kuweza ku'make my own decisions without kumuogopa mtu.. Ingawaje kushauriwa pia napenda ila i am always the decision maker when it comes to my life.. That's why i always say i am my own boss!!!
Wewe mwenzangu boss wako nani maana as far as i can pay you twice your current pay, girl i am your boss??!! Hahahahahaaaa..natania bana, usije resign bureee...hapa no vacancy dear...
Second thing i have what i wanted in life... A very understanding hubby, two beautiful babies, hao watatu so far ndio my kila-kitu i want in this life... Hubby nisimuongelee kwa leo maana nikianzaga za hubby najua mnatamani mpasuke,hahahaaa..I cant help it wapendwa, ni kwa Neema tuu... Ila suala la watoto aiseee nobody can kununa apooo,hahahahaaaa... watoto wasafiii and wanalelewa in maadili...
Muda wa kunywa juice sasa, hahahaaa... 
Najishaua nao sana,yesss tena sana maana hao malezi yao sio even close to what you could think of... Sio mtoto mdogooo anajua hadi michepuko ya dad ake and anakuadithia wewe mama na wewe una'support.. Kiruuuu!!! Guys, hivi m'mama unaanzaje kuelezewa na katoto kadogo ivo maswala makubwa ivooo...If it were me(ingawaje haiwezi kuwa mimi, kuna tofauti kubwa sana kati ya G na E, kati ya Mchagga na mniniii tenaaa) hahahaaaa, but mfano siku Faith ananiadithia about mtu anayetembea na baba ake haki ya mama vile lazima nimkanie, tena nakuwa mkali hatareeee..aibu gani iyo na ni malezi gani hayo kwa mtoto mdogo wa miaka less than eight,mie nianze kujadili nae about mchepuko wa baba'ake....never ever!!! Bora hata ungesema yule aliyekuwa na dad ni ''auntie'' hahahaaaa ama vepeeee??!!! Wapi kina 'auntiessss' hahahahaaa!!
Can you really dare try kuwa proud of that life???!!! ''ushindwe na ulegee'' Na uniwache mie niendelee na mashauzi yangu kwa raha zangu....
Another thing kiukweli mie sio tajiriiii kiivyo but nayamudu maisha...Siku nikiwa tajiriiii pia nitajisema mie, hahahahaaa...But for now najua mnanielewa when i say nayamudu maisha...And i am very proud for that pia... Yes, and siku niki'plan kukopa bank ama any-where else naomba Mungu nikope pesa ndefuuuu... hahahahaaaa, ili nikiwa najua nina rejesho basi liwe la maana and kila mtu akiniona na rejesho langu anasema kweli GF umeamua kukopa this time... hahahahaaa!!!
Kitu kingine mie siazimagi viwalo mie, i buy my own swaggers and i am very thankfull for that maana for me kuvaa ni hobby, sivai ili nimrushe roho mtu... Navaa when i feel like kuvaa, na'enjoy sana to do the shoppings and buy my own stuffs, sisubiriagi siku-kuu mie kununua nguo ama kuwanunulia wanangu swagger...We buy nguo when we feel like we need new fashions, maana alinifunza mama kuwa ni aibu kubwa sana kwa mke wa mtu kuazima nguo, viatu, wigs, n.k kwa mwanamke mwenzake.. eeeh?! Ni aibu isiyo na kifani yaani, unajiaibisha eti kisa unataka kuwarusha roho wana'retco??!! Hahahahahaaa... 

Cha mwisho kwa leo, maana chai imeisha na juice ndio inamalizikia ivooo..Hahahhaaa, and leo sijisikii kupiga picha coz of flue yaani i dont feel myself kivileee ila furaha hiziiii ndio zimenifanya niji'ekotite...
Uuuuwii,nina mengiiiii yaani ya kumalizia mwaka ila kwa leo tuishie na suala zima la ma'secretary... Kiukweli sijawahi onaga secretary aliye rafu wala mchafu-mchafu, ukweli kutoka moyoni hii ni applied only kwa.....!!!!(Next time nitakuja na picha za before and after,maana najua shogaaaa lazima uanze kuwa msafi tuu penda usipende) Wenzako wakijiita ma'secretary wanaonekana tuu kuwa ni ma'secretary kweliiii... hahahahahaaaa!!!!
Najua wapendwa mnapata picha when mtu akisema yeye ni secretary how anakuwa eeeh... Ama secretary hataki kumtega boss??!!! Eti 'muke ya boss'' hiyo might be the reason ya secretary wenu kuwa rafu eeeh...
Duh, ila mie mchokozi wallah naomba niishie hapa maana kuna bongeee la suprise linakuja soon... Stay tune!!!

''Niliposema if you want to deal with Gf ujifunze kwanza kuoga mwenzangu naona hatukuelewana, sasa i'll make sure unajua how to get clean and hata nyumbani kwako watu wasiogope kuomba maji ya kunywa...''

Mnisamehe bure wapendwa maana hivi ndivyo how i decide kuumaliza mwaka 2015... Tulikutana kimjini-mjini lakini tunaweza kuachana ki-bush bush...Ama neneee??!!

The truth is, i realllllyyy love you all so very much.....
XOXO!!

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT