PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Sunday, December 6, 2015

FRED FRED'S GRADUATION... #NI KWA NEEMA TUU,NA REHEMA... #ASANTE YESU...

Hey dears,
My son completed his nursery studies jana, namshukuru sana Mungu wa mbinguni kwa kunikuzia...


Asanteni na wote pia mlioshiriki in one way or another to make this happen...
Special thanx to my darling mume for being baba bora and all the supports..thank you darling!!
Heart-felt thank you to my family, Barnaba (Ze Don wangu) Eve (Ze bosslady wangu) Deborah (Dr.Debby wangu) Ruth (Da'rut wangu) kwa support na mazawadi mengi kwa mwanetu, Jr anasema ''Asanteni na Mungu awabariki''
He actually called each of you personally and say thank you maana mliifanya siku yake iwe memorable!!!
Asante mama T cakes delight pia kwa cake nzuri na tamu... The cake was Fred's choice, he wanted two-books cake and mama T make it happen, backed with love... Thanx dear, hujawahi niangusha!!
Asanteni sana na wote pia mnaosoma hapa maana najua kwa njia moja ama nyingine wote nyie ni ma'aunties and ma'uncles bora sana kwa Fred Jr... 
Asanteni sana wote na m'barikiwe sana!!!

Aya sasa before sijaanza kuwaadithia how the graduation goes, allow me kumpa my son kaujumbe kadogo....

Fred Jr, you came into my life at the very right time, wewe ni wa kwanza kunifanya niitwe mama, na this experience ya motherhood uliyonipa sintaweza kuisahau milele.. I feel blessed kuwa mama yako, and i am very proud that you are my son!!! As unavyomaliza pre-class one let me wish you nothing but success my dear, endelea kuwa na moyo huo huo wa kupenda shule mwanangu... Unajitahidi sana baby, na unanitia moyo kwa juhudi zako kubwa zaidi ya umri wako...
Waking up early to go to school, resting your head in the bed so late after you finish your home-works, I witness them all.
And now that you are graduating, I feel so proud, very proud of you son!!!
It's all the new beginning, new chapter, new endeavors, new challenges
But for now, let me tell you...I am so proud of you, i love you sana and congrats my baby boy!!!

Nakupenda sana!!!!

Sasa mkae mkao wa ma'picha picha... Hahahahahaaa!!!
Tuanzie from the time graduate alivyokuwa anatoka home in the morning of 5th December 2015...
 
 My first born... My five years old son... My big boy!!!
Faith, the one and only dada wa the graduates nae alikuwa anampa campan kaka-darling!!

 
 The graduates himself....
Chasing a dream requires efforts, passion and hard work.
You are now in the half way.
Keep up your good work and continue to strive!
 
 
 Then tukamfikisha the graduate shuleni... He met with other graduates nao ndio walikuwa wanasubiria kupewa utaratibu on how kuingia ukumbini kuanza sherehe ya mahafali yao...




 We get the time ya kupiga picha pia na the graduates wakapiga story mbili tatu before ''madam'' hajaanza kuwapanga alphabetically kwa kuingia ukumbini...




 Fred with his friends... ''the graduates''

Then ''madam'' akafika, akaanza kuwapanga ili waingie ukumbini..


alikuwa anawapanga alphabetically so it was easy coz kila mtoto alikuwa anajua atasimama nyuma ya nani and ilikuwa funny pia to see how the kids wakielekezana like Faith and Fred, anaanza kwanza Faith then Fred nyuma yake coz zote ni F but from F ya Faith it follows with ''a'' and from F ya Fred it follows with ''r'' so between ''a'' and ''r'' the ''a'' comes first... Hahahahaaa... I was like Ooooh my.... these kids seems to be wadogooo but wana akili hatareee!!

 Fred alipata picha na ''madam''


 Wakiendelea kupangana nae fashionista yupo busy na picha... She choosed her own collection of red hair-bands and mama do the rest!!
 
 I love and adore this baby... Dah!!

Aya sasa walivyomaliza kupangana, wakaanza kuingia ukumbini kwa muziki, haahahahahaaa...it was funny jamani, maana watoto ni wanachezaaa,wanavurugua mistariii,yaani full raha...hahahahaa, ila mie siwezi aiseee kuwa teacher kwa hawa watoto wadogo maana there are times nitakuwa nalia...they are just too sweet, hadi wanafanya vitu vya kukuudhi na kukukera sweetly...hahahahaaaaa!!! siwawezi aisee... u'sweet wao utanifanya nilie tuu wakiniudhi mie...


 The graduates wakiingia ukumbini...
Aya from here sasa there was a special photographer wa shule, ambaye alimpiga picha kila graduates akipokea certificate yake, akilishwa cake na mkuu wa shule, akipewa zawadi na akivalishwa kofia na taji...
So hatukuruhusiwa kupiga picha tena coz kiukweli ingekuwa vurugu...maana wakiwa tuu wapenda picha kama mie wanne ndani pasingetosha so nilielewa na kukubaliana na maamuzi ya shule.. Tulipewa picha zetu zote jana hiyo hiyo and niliomba kupata soft copy ya picha za ndani nikaahidiwa nitapewa as soon as possible from next week.. I hope zitakuwaga throw back eeeh?! Yes...i will throw them back one day, maana my son alipata zawadi ya ''The best student in Mathematics'' nitaachaje sasa kujishaua na iyo #tbt
*******
After risala, kukabidhiana vyeti na zawadi, graduates wakavalishwa kofia zao sasa kuonyesha wamehitimu and tukacheza mziki kidogo wazazi,walimu na wanafunzi then tukatoka for a red carpet pictures sasa...
Cheers to the newly graduate!!!
i am too proud!!!

Baada ya red-carpet moments sasa ni ule wakati muhimu... Cake time and msosi time... (Before picha, naomba niwapongeze sana walimu na uongozi wote wa Hyperlink Schools Of Tanzania kwa kuweza kwenda na muda, yaani hawakutuchosha kwa kweli, walijitahidi sanaaaa, mahafali yalianza rasmi saa tatu and by saa saba msosi was ready na tukala wote a very nice food.. Dah,walinifurahisha... Hongereni sana tena sana!!)
Aya sasa cake-time!!
 As nimesema, the cake was the graduates choice...He brought the ideal and design it by himself (Two-books cake) alitaka one book kiwe mathematics book (no wonder he is good at Maths) and the other one is English book (i guess hayo ndio masoma anayoyapenda) alijichagulia pia the colours by himself, he loves white so alitaka the whole white book of Maths, and the light-blue one for English...

 
 Mie nikazipeleka ideas za Fred to Mama T, and she did the rest!!!
She backed with love, akaongezea na manjonjo yake tena at the very reasonable price!!!
 
 The two-books cake...
He was more than happy kuiona cake yake... He said the Math's book cake looks exactly like his Real-Math's book, eti it has the 1 2 3 like the ones on the cake... Hahahaa, i guess Mama T knows better!!!
 

 Akakata cake na kutulisha wote... But for leo na'post few of us tuliobahatika kutokuwa throw backs..hahahaha!! Picha nyingine next days wapendwa, ni nyingi sana za cake...
 KakaDadaCakesMoments....
Kwa raha zao wanangu...

Mama-dearest... Faith aligoma kuondoka yaani hapo na yeye akanilisha ndio akaridhika..hahahahaa!!! Mwenyewe anasema it was graduation yao (yeye na Fred) hahahahaaa...

Tunakupenda Fred wetu... Daddy loves you too boy... Ingawaje he was not around but he was always on the phone with us all step by step...
#Tutakubakizia cake mume-darling#


Then akawalisha pia cake dada na kaka zake wa shule...


Then tukala pamoja wote...

After kula na kunywa, tukarudi home... It was noon so my babies wakapumzika kidogo and by saa kumi tukatoka wote as a family tukaenda kumpongeza Fred kwa kumaliza salama masomo yake ya awali...(Picha za after party next time wapenzi,nimechoka tayari ku'upload pictures tena)
Cake bado ipo so karibuni sana...

Naomba niwatakie wote Jumapili njema, nawapenda sana!!!
Cheers to the newly graduate!


XOXO!!!

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT