My moody right now is like...
Ni kwa Neema tuu!!!!
Kila ninapofikiria how far God has brought me yaani nakosa kabisa maneno ya kuongea zaidi ya kusema ''Asante''
I am thankful and greatful indeed!!!
Na ndio maana i consider kila mtu ni rafiki yangu no matter matawi gani upo coz i know where i also came from, and mostly kwa kuwa najua maisha ni safari...hakuna anayeanzia juu, wote tunaanzia chini kuelekea juu kwa msaada wa Mungu!!!
Ingawaje kuna mashoga-uyoga wengiii ila mie still in my heart i consider you all as my friends... Na ndio maana pia nakuwa greatful pale ambapo maneno yangu yanaweza kuwa na nguvu ya ajabu ya kum'badilisha mtu...hahahaaa!! Yes, yaani yanam'change mtu kabisa in such a way nazidi kufurahia this blogging hobby each and everyday...
Wahenga wanasemaga sikio la kufa halisikii dawa but you my dears are not sikio la kufa...Yaani nyie ni wapendwa wangu wa kiukwelii kabisaaa na ndio maana when nawapa msumari wa kuwachoma moyoni you always come back kwenye mstari, na hicho ndicho kinazidi kunifanya niwapende daima...
Sometimes maneno yangu pia yanakera a little bit too much hadi mnapata na pressure za kushuka, yes..i know!! So sio lazima kuyafatilia sanaaaaa...ila how comes if hayo hayo maneno pia yanatoka kwa mtu wako wa karibu kama sweetie-lotion wako???!!!
I am very very sure ni experience ambayo hakuna anayetamani kuipitia... Na ndio maana always nasema kuwa nawapenda coz i am here to give you the love nobody could take it away, the pure love la kukupunguzia stress za maisha, the love from this blog to you all....the real love from Gf!!!
Kesho is my birthday, I am gonna say good-bye to 20's sasa rasmi nitaingia in my 30's... I would not be thankful enough kama sintamshukuru Mungu kuwa in my 20's kuna mtu nilimsaidia kuyabadilisha maisha yake na leo live nimeshuhudia kwa macho yangu... Pia nitakuwa sijatenda haki if sintakuwa greatful kuwa in my 20's kuna watu waliniangalia mimi kama role-model wao na wakawa na maisha yanayotamaniwa na wengi...
I am too thankful and greatfull!!! Maana yote hayo yamenifanya nione how sweet and blessed my 20's were and i am looking forward for a bright and amazing 30's...
Cant wait for tomorrow!!! Cant wait to be 30 years old!!!
I am Blessed and i know it!!!
XOXO...
No comments:
Post a Comment