PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Tuesday, March 29, 2016

BLESSED & HIGHLY-FAVOURED....

Dears,
This must be the today's last post...
Maana leo am sure hadi hamu zenu za kuwepo hapa zimeishaaaa.... sio kwa ku'post huko, lol!!! 
If wewe ni mgeni, i mean if ndio unaanza now kusoma my today's posts please keep on scrolling down, maana leo nilikuwepo hapa since morning... Hii inaitwa ''quality time with my dear ones'' maana for real nime'enjoy sana kuwepo nanyi hapa for a whole day... Being with you all here i feel blessed and highly favored...
Asanteni kwa kuwepo na tukutane tena next time!!! Nawapenda sana sana woteeee, if kunaye niliyemkwaza please naomba anisamehe bure, am a human and ulimi hauna mfupa, mlionikwaza pia nawatangazia msamaha na narudia tena kuwa Nawapenda sana sana sanaaaaa!!!!

Enjoy my green and yellow look...













 


 


 

God Bless You All,
XOXO!!!

MAISHA NI YAKO....

Dears,
I guess this is the 5th post ya leo, duh... and the internet leo ipo faster hatareeee....kama inajua vile nipo off, hahahaaa... And the weather is soooo cool yaani nahisi i can blogg the whole day maana nimeshapata break-fast na lunch on bed, lol... But nahisi i'll just post the last one then tutakutana tena next week Mungu akipenda, yesss...next week, maana from kesho i'll dedicate all my time to kusaka pesa and kula bata na wanangu...  
 This was my last week look, i guess it was a Thursday-look... And i hated these pictures coz ya mikanda ya bra kuonekana sana ivo, but before sijazi'delete nikamkumbuka one friend of mine anapendaga kusema ''maisha ni yako'' so nikaanza tuu kuzipenda bureeee!!! yesss... Maisha ni yangu, why bothered????!!! 
 
 Maisha ni yangu.... Ama vepeee???!!!
 I choose not to look at them mikanda ya bra Instead i look for my blouse details... Aaawww....i love those mawimbi mawimbi thingss and the neck of my top...
 Mama akee F-Babies...
 Me, myself and i...
 Apo vepeeee????!!!!

 Stay tune for the last but not least post sweets...
Love you,
XOXO!!!

A LIL'THROW-BACK.... #MIN-DRESS

Aya sasa ni mambo za throw back kidogo,
 
Gf In Min-dress...My ki'tinet-dress, niliivaa hii nguo on a friend's birthday party last month i guess...it was a family and few friends party that's why nikajitahidi kutokelezea as simple as possible...
but nilinoga eeeeh??!! Hahahahaaaa, sijui why i didn't post these pics earlier???
May be i was saving them for a throw back!!!
 The lace-wig from Fetty...
With this wig yaani no need for salon, unajivalisha tuu na kuji'bond mwenyewe...Unajichagulia style and unatokelezeaaaa, ila tuu make sure you use the nice hair-glue, usitumie zile gundi za black ambazo ndio in most salons have....Use the white one, it's sooo good yaani, io like a nail-polish colour-less flani iviii, (kama hujaijua bado come wassap nikuonyeshe, and i think you can oda it kwa Fetty pia, check with her kama bado anazo) #QualityMatters

Hahahahaaa, talking about the wig jamani nikakumbuka nilikutana na shoga-uyoga wa mie na wig-mpeperuko flani iviiii, duh!! wapendwa hivi kwani mtu lazima uvae wig to prove somebody that you can look clean???? Au ukivaa wig ndio unaonekana m'mama mjanja??? Kiruuuu, mie i better be on my own hair kuliko kuvaa kituko kichwani... Aiseeee...ni sheeedar!!! Ila.....
 My dear, you better treat your natural hair tuu, yaani unatoka kituko hatareeee, wig linapaa, yaani sijui ni huwezi kulivaa lika'fit kichwani vizuriiiii, ama ni nini??? Mbona kama over-size??? hahahahaaaa... I know you are trying really hard ku'prove kuwa wewe ni msafi na unajielewa, i can feel your stuggle darling...

 Mie ushauri wangu ni bora ungetafuta dawa (nenda hata hospital) ujitibu huo ukoko kwanza na ujitahidi kuwa msafi ili uzipe mwanya your own natural hair to grow kwanza, stay natural kwa kipindi ambacho una'learn on how to wear a wig... pleaseeee, maana unachekesha kiukweli dear!!! Alafu nashangaa kama hao hawakuambii...ila jua tuu watakuwa wanakucheka kimya kimya, bora hata mie na uchokozi wangu hapa najua ujumbe utakufikia mpendwa!!!
#Tarehe8Vepeee... 
Hahahahaaaa, ila mie mtunduuuu, aaiiii the post says it's a throw back banaaaa, so i was just remembering the stories za nyuma pia... Hahahahaaaa....
Nani kanunaaaa???!!!
Mama Kibonge Nyanya....#Gf
 
 The pose i make when i feel somebody's struggles... Hahahahaaa!!!
 
 Naacha uchokozi kuanzia leo yaani, maana mie ni ka'poleeee!!!
 Don't go anywhere... There are two more posts to come!!!
Ooops, did i say two??? I mean't two or three buanaaaaa....
Love you,

XOXO!!!

MANENO KUTOKA KWA WADHAMINI....

Hey,

Nikiwa bado naendelea na mbwembwe zangu ebu tuwape wadhamini muda kidogo wasije zima WiFi...  Hahahaa, na baada ya kuwapa my main-sponsors some airtime then tutarudi na the last two more posts.... Then we call it a day. ama vepee??!!
 


 






 

 Wasiliana na GF MIN DEPOTS
 kwa mahitaji yako yoteee ya vinywaji vya aina zote... Tuna branch Kihesa na Iringa mjini... 0753 891 997 ndio namba zetu, karibuni sana!!!

Mteja kwetu ni rafiki!!!!
 

XOXO!!!

BLOGGING MODE...

 
I am on my blogging moody leo wapendwa so after this post nadhani itakuwepo tena nyingine na nyingine na nyingineeee... hahahahaaaa, yes... hadi my main spounsor asitishe huduma ya WiFi kwa leo, otherwise ni mwendo wa ku'post tuuuu... By the way it's easyyyy-tuesday.... my day off... siku ya kupumzika, why not blogging then??!!!
 I don't remember the day ila this was my last week pose, mwenyewe nikiwa naelekea kwenye kusaka pesa... #BusyLady
 
 This look makes me work so comfortable yaani... I love the bluewish vibes all over!!!
 
 And ka'mkufu-belt on point... #WithMyKiunoChaKichagga
I love me some more...

XOXO!!

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT