It's always good to be here...
Naombeni tuu muwe wavumilivu na muendelee kuwepo hapa mara nyingi nyingiii maana kila nitakapozi'arrange fresh nitakuwa nazi'post kidogo kidogo... Sintaweza post zote kwa mara moja but nitajitahidi...hata matukio yasipofuatana but atleast nitajitahidi ni'post matukio mengi mengi...
Si mnajua nilishaamua kuwafanya kuwa my other family eeeh???!!! So kaeni mkao wa kula kwa macho...
Eve ni mzungu flani iviii in nature, simsifii kwa vile ni mdogo wangu...it's true...hanaga uswahili kama mie.. hahahahahaa!! (mie ni 40% mswahiliii, 25% mzungu 25% mchagga na sasa iyo 10% nimekuwa m'bena/mhehe/mkinga hahahahaa)... for Eve yeye uzungu is like 80% then izo 20% ndio uchagga,ukikuyi na sasa naona ana u'gita kwa mbaliiiii....uswahili kwake anausikiaga tuu na kubaki kuushangaa... Natamani niweze kuwafanya mumuelewe as vile alivyo yaani, ni mtu mmoja m'poa sana... a person you can take her for granted alafu ukajijutia mwenyewe bila hata yeye kureact vibaya on you, a very humble and down to earth person, hapendagi makuu wana hajuagi mapurukushani na mtu..yeye na mambo yake tuu and ni veryyyy simple human being... Everything about her lazima kiwe ni zaidi ya u'simplisity..hahahahahaaaa... Mie ndio i always force to complicate vitu vyake kidogo maana naonaga anafanya vitu tooooooo simple... wakati mie napendaga u'complicate kidogo... Thank God we always get along very well, maana Eve understands me, she is that person anaye'take time kumuelewa mtu before judging...she ain't perfect but she is close to be an angel!!!
She wanted a very simple wedding... Yeye na mume wake walikubaliana kuwa hakutakuwa na cha kamati, michango wala mapurukushani yoyote...All they do was inviting their loved ones wahudhurie na kushuhudia wakifungishwa ndoa katika kanisa Katoliki Paroki ya Burka Arusha, na baada ya hapo waungane kwa chakula cha mchana katika Hoteli ya Carnival Kisongo Arusha, after hapo tupige picha za ukumbusho and kila mtu akaendelee na mambo yake na wao wakale marahaaa ya honey moon.... And that was it!!
The very best thing ni kuwa na mie was one of their beloved ones...hahahahaa, yesss i was invited!!!!
Familia yetu wote tulialikwa na few loving friends too...
And since picha ni nyingiiii...basi leo naanzia na za settings za hotelini and cakes and ofcoz the next post leo leo nita'post few pics of my F-babies katika ubora wao on their auntie Eve's wedding.... If nikiwa sijachoka for the next post ya tatu leo will be about Bwana na Bi arusi katika ulimwengu wao na kesho Mungu akipenda nitapost za bride-maids hahahaa, you better be here watching me and doctor Debby tukijishauaaaa...ila ndio kama nitakuwa sijachoka eee...
Kisongo Carnival Hotel Arusha...
CAKES...
Sasa don't go anywhere....maana hii post itakuwa updated tena soon, nimeona picha nyingine zinachelewa kuwa uploaded so nime'post tuu ziendelee kuji'upload taratibu.. Let's go to the next post kwanza....
#F-Babies pics on the next post...
#PeterWedsEve
Bado tupotupo sanaaa!!!
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment