Please muwe wavumilivu lol... mambo mazuri hayataki haraka, as i promised you..picha nitazi'post zote... Nipo bado nazichagua zile zinazovutia and zilizopigwa in muonekano wa kueleweka...Pia please send me in a full view...Tena nyie mnaolalamika ndio mnanitumia picha moja moja, sasa naziwekaje jamani????!!! Usipige picha ya kochi moja na kunitumia maana nitashindwa kui'post
Big up goes to this pretty lady Fetty from Kihesa - Iringa
dear, umekimbiza hatareeee.....
Sitting room ya Fetty |
Classic... |
Jiachie mamie kwa raha zakoooo!!!! |
Maana washapendeza tokea nyumbani, sio full kujishaua wakati unakalia sofa lililochubuka inahusuuuu!!!!
Ukitaka kujishaua sweetie, basi uwe na vigezo......kama sie!!!
Wacha mashauzi yaendeleeee!!!
Nawapenda...xoxo!!!
leo umenikosha, pazuri
ReplyDeletehongera pazuri
ReplyDeleteAaaaawwweee big up Fetty.. u deserve that my dear
ReplyDeletetunashukuru ngoja tukarepair hivi viraka vya makochi
ReplyDeletetunashukuru ngoja tukarepair hivi viraka vya makochi
ReplyDelete