Ila nilipokuwa na watoto sasa apo ndipo nilipozidi kujishangaa zaidi... Nimekuwa mtu wa tofauti mnoooo, nimekuwa mmama kiukweliii kabisaa, hahahahaaa...
Yaani hapo namaanisha how commited i am on being a mother... Mie sasa ni mama ambaye naweza fanya anything for my babies, anythinggg and everything!!! Mchagga mie ninavyopenda pesa lakini when it comes to my babies naweza hata kuacha kazi only nikae nyumbani to take care of my babies, naweza acha kutafuta pesa yangu na kukaa tuu kuhakikisha wanangu wapo in safe hands all the time, mimi ni mama wa kuamka asubuhi asubuhi kuwaandalia wanangu breakfast and wakiamka niwaandae for school by myself and nihakikishe wameshiba before going to school and tena hata niwapeleke mwenyewe hadi shule na jioni niwafate mwenyewe, i am that mother nowdays... Mother-hood life imenifundisha kuwa i can never depend on a maid on the matter of my babies...maana nimegundua i am the only one know uchungu wao...
Ila kuna kipindi nilikuwa nikiambiwa nifanye hivyo vyote aiseee patachimbika, hahahahaaaa.... Nilikuwa nasema mie ni ''graduate'' how can i stay nyumbani taking care of babies wakati i can work and pay the maid to do that all... Ila kumbe sikujua what i miss kuwa this ''mother'' i am sasa... Wanangu wamenibadilisha sana, having them makes my life a totally new life... i am new me, new mama tena a very good one...
Pesa natafuta kiasi chake na wanangu nawapa huduma zote na mostly wanapata muda mwingi sana kuwa na mimi...
Namshukuru sana Mungu for the person i am today, maana i feel like i am in the very best edition of myself
Bila kusahau t-shirts zetu are from Dada'Ruth wangu....
Kwa mahitaji yako yoteee ya printed t-shirts usisite kumcheck kwa simu namba 0756 402 250 And follow her on her Insa page @ruthhenry81
XOXO!!!!
No comments:
Post a Comment