Hivi ni vionjo tuu vya my African-Print swagger... Next time mtaniona in full!!!
This Kitenge was Birthday gift from Eve!!!
Kikoti cha kitenge.. African wear!!
Yeuwiiii,mikono ya Madam Director sasa... Hahahahahaah!!!
Full madini #NFZ
Thank you Eve, na wewe subiria nitakavyoku'supprizisha!!!
Mad love kwenu wote!!
XOXO...
Aaaaawwweee Jamanii I love it... welcome maa
ReplyDelete