
Funny thing is, as tough,stressfull and u'busy wa mwezi July was ndivyo na my eating habit ika'change, yaani ikawa si ya nchi hii... hahahahaaaa, nilikuwa nakula-kula balaa...
I guess that's the reason mie huwa nikiwa na stress nanenepa sana... maana nikiwaza tuu how mambo hayaendi vile nataka weeee najipooza na soda baridi kwanza ndio niendelee kuwaza vizuri... na yakinizidi mnooo natafuta bonge la kopo la ice-cream to cool down...mweee!!! hadi mambo yameanza kunyooka sasa ndio najishtukia nimekuwa kibonge nyanya flaniii iviiii not amazing!!

This is me today...like very seriousssssssss,yaani 98.4kgs, wallah najikasirikia for this...i am not doing fair to my beautiful body...kiruuuu!!!
So kibabe kabisaa namshukuru Mungu kwa July and looking forward for a very successful August...
And this is my ''hellow-August'' mood...
Kwanza kabisa ni mwendo wa zoezi(gym).... Ingawaje nachukia kufanya mazoezi lakini aiseee sina namna, huu mwili unakuwa tishio sasa for real...it's not healthy and it's not sexy... nataka ule ubonge'sexy... haahahahahaaa!!!
After gym sasa ni mambo flani hiviii amazing mnooo ya kurudisha my skin-tone... niwe mzungu flani from Kishumundu kwetu with a very healthy skin, natural tuiachie misitu...mweeh!!!



Had a very serious 30min work-out today... Hadi nikalowa jasho, don't mind wanja haujafutika coz nimechora a temporary tatoo ya wanja hapo so i can sweat on it more than ten times ndio uanze kufifia...
(maana hamkawii oooh zoezi gani wanja upo on point,heeee...kwani mmeambiwa mkifanya zoezi ndio msijirembe??!! Haihusuuuu.....)



Breakfast ni after mazoezi, mayai mawili ya kuchemshwa,matunda na my favourite coffee from Edmark, hii kahawa kiukweli nayo nahisi nitaiacha kwa muda,but naipendaaa..uuuwiiii, siiwekei sukari and still nai'enjoy hatareeeee!!!
(i do gym in the morning only) na baada ya hapo ni lots lots of home-made fresh juice with no sugar and bila kusahau kitu cha cabbage till jioni nitakula samaki mchemsho...

Cabbage mchemsho...Ina chumvi,karots,hoho na kitunguu maji tuu... Ina ladha nzuri trust me, yaani haiboi, na kitunguu na hoho vinapoteza kidogo ile harufu ya kabichi...so its a perfect meal kwa mie kwa mwezi mzima....

My juice in the making...
naweka lots of fruits as possible na ili isinikere nitakuwa na'change change aina za matunda kila mara kwa mwezi mzima..

Ina ladha nzuriiii hatareee, no sugar apo lakini ni tamuuuu!!!
And kila Jumamosi nitakuwa nakunywa buchirash....
So let's chill and see kwa huu mwezi mmoja nitafanikiwa kupunguza kgs ngapi???!!!
Feel free to join me katika kupunguza mwili kidogooooo!!!
Aaaah, i also take asali mbichi when nikisikia mwili umechoka au nikitamani kula kula vitu vitamu vitamu...natembea na kikopo changu cha asali kabisa, ni mwendo wa kulambaaa tuu asali kwa raha zangu... No ice-cream No soda No chocklate for the whole month...Hadi kieleweke!!!
Tell a friend to tell a friend that's i am back... And my love for you still the same!!!
XOXO...
No comments:
Post a Comment