PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Thursday, August 4, 2016

THE STRUGGLE IS REAL....

Hey dears,
Leo ni siku ya nne ya ile program yangu ya kupunguza mwili...duh, it's not a joke...wallah nakoma, the struggle is real...Ila it worth it!!! Maana nashindwa kupiga picha tamuuu coz najiona kibonge nyanya mnooo, pia natumia nguvu nyingi sana kuziweka swagger zikae on point...
 
The only time i remember being this chubby was nilivyojifungua my daughter... Yes, and the excuse was ''mie mzazi'' ''nanyonyesha'' hahahaaaa... 
But look at me now...duh!!! Mie i cant even tell where my kiuno is, my big-eyes sasa..kiruuu yamezibwa na mashavu kabisaaaaa na shingo ina mikunjo-kunjo as nataka kuwa na videvu viwili...hahahaaa, aiseee huu sio ubonge tuu, ni ubonge wa mwendo kasi... 98.4kgs and am not pregoo ata...yaani ni mimi myself and i tuu kgs zote hizo???!!! Zis is noti raiti kwa kweliiiiii.....
Aiseee hata iweje yaani i must kupungua tuu...hakuna namna, ingawaje my body is craving for sugar, yaani natamani soda and ice-cream hadi nadata...Uuuuwiii,jee ninavyotamani Ugali sasaaaa, kiruuuu...nime'miss ugali hadi ninavyoandika hapa nahisi ile harufu ya ugali flani iviii amazing unaungua kidogo iviiii na kitu cha hot-fire pembeni, chaaaaa!!! mate yananitoka... Hahahaaa...
 
Ila dah, sidanganyiki,this time hadi kieleweke... na tena from jana nakunywa na cabbage-juice to speed up the process ya kupungua uzito...so i am sure in seven days nitakuwa nimepunguza 3-5kgs inshallah!!!!
 
Still bado mwendo ni uleule...no sugar,no starch for a month... ni mwendo wa michemsho(eggs and white meat only) na kabichi za kutosha na matunda mengiiiiiii hadi nashiba... Plus lots of juice, fresh home-made juice...cabbage juice and buchirash...mazoezi kidogo...baaaasi!!!!
Heee, talking about mazoezi yaani hapa naumwa mwili mzima...Apo mazoezi ni only 30min a day...and nafanya mazoezi mepesi mepesi tuu kama kuruka kamba, jogging na set'ups kidogooo...ila in 30min nakuwa nime'sweat hatareeee!!! Kweli sikuutendea haki mwili wangu for kula-kula bila mpangilio...haahahahahaa!!!

Asanteni wadau wote tuliopo pamoja in this process... Thanx for ushauri, challanges na kero za kuongezeka uzito faster...its so nice sharing with you all personally...na'enjoy na kufarijika nikiona kuwa sio mimi tuu ninayeenda kula kula to calm-down myself when am in stress...and mostly napenda vile mnanipa ways to handle and kuepuka kula kula hovyo...And i am very sure hadi huu mwezi uishe lazima wote tuwe tumepunguza 10-15kgs...

Na wewe una tatizo la kula kula bila mpangilio???!!! Is that your way of handling a stressful situation???!!! Huendi unene unaokera???!!! Unahitaji ubonge-sexy na hujui how easy you can reduce your body size???!!!
 Worry out...Haupo peke yako my dear...Tupo pamoja!!! Gf yupo na wewe in the same situation, na sasa amepata njia ya kujitoa huko...ebu tutoke pamoja darling....
Let's chart kwa 0753 891 997,  normal sms/text pamoja na wassap only
(Dont dm me on my Insta account au usinitumie inbox kwa my facebook ac maana huko nilizilimbikiza za muda mrefu so zipo nyingiiii mnooo bado sijazisoma so ikiingia na yako huko kuiona ni kazi, but nikipata muda nitazifungua nizisome and nitajibu...ila for now tutumie my numbers tuu...and i promise you guys nitawajibu woteeee, inshallah)


And mnajua nini, nawapenda ile noumerrrr!!!
XOXO...

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT