As nilishawapa taarifa siku za nyuma about availability ya Black Bee Gin at my depot
(Please search posts za nyuma about Black bee gin if umesahau)
ila tuu shortly ni kwamba GF MIN DEPOT ndiyo Main-distributor of Black Bee Gin kwa southern highlands of Tanzania...
Iringa mjini
-GF MIN DEPOT ambao ndio wakala mkuu, tupo opposite na jengo la ccm-mkoa... Hapa kuna special department kwa ajili ya uuzaji wa Black Bee Gin tuu...
-F STANDARD GENERAL COMPANY hawa wapo karibu na stend kuu ya mabasi yaendao mikoani
-ELIZA DEPOT hapo ni nyuma za jengo la ccm mkoa, karibia na depot ya bia za tbl (Kwa mwenda)
Mkwawa
-MARY SAMBALA DEPOT hapa ni karibu na chuo kikuu cha Mkwawa na jina maarufu kama kwa mama Clara
Samora
-KWA VUNJO duka lipo kwenye mzunguko wa nje ya uwanja wa mpira wa Samora
Ipogoro
-KWA MAMA MOSHA hapo ni opposite na stend ya Ipogoro
-MAMA NDIMBE COSMETICS hapo ni barabara ya kuelekea Kibwabwa
-DUKA LA POMBE KALI hili lipo ipogoro nyuma ya ofisi za mabasi ya sumry
Kihesa
-KWA NGWALE hapo utazipata dukani kwa Jema Ngwale, ni karibia na chamudindi pub
Mafinga
-KWA TITUS hapa ni duka la pombe kali Mafinga mjini
Kilolo
-YAHAYA BAR hapo utavipata kwa jumla na rejareja pia...
Mpaka sasa mawakala wa Black Bee Gin ndio hao tuu, bado hawajatutosha kutokana na demand ya gin yetu, na ukitaka kupata contacts za mawakala kwa sehemu hizo pia wasiliana na namba 0753 891 997 utapewa namba za wakala wa sehemu husika...
Bado tunahitaji mawakala mikoa mingine pia... Fursa ndio hii, what are you waiting for darling???!!! Toa oda yako sasa maana mzigo upo wa kutoshaaaa....
Where my Njombe people, Njombe nawatamani mnooo kufanya biashara na nyie... Songea na Mbeya kwa wakwe zangu mpoooo???!!!
Kila kona ulipo, karibu tufanye business pamoja... Trust me,uta'enjoy!!!!
Na mkiona nipo nipo kimya wapendwa msiwe na wasiwasi, mjue tuu ni mambo za Black Bee Gin zimepamba moto maana lately tumekuwa na promotions and kuwatembelea mawakala wapya pia so muda mwingi nakuwa too busy... Ila nawapenda na i'll do my very best kutopotea huku sana maana without nyie siwezi kuendelea kuwa Gf....
Nawapenda mnoooo,
Till next time...
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment