Nimeona nikimjibu mmoja mmoja basi Jumapili yangu yoteee ingeishia nikiwa tuu online, so kwa kurahisisha naomba niwajibu kiujumla and if hautaridhika na maelezo yangu basi feel free kuniuliza tena then nitakuelezea zaidi...
Kwanza kabisa i respect you all mliokuwa na ujasiri wa kuniuliza maswali yote mliyokuwa nayo na yananihusu mie...respect!!!
Nawaahidi kuwajibu ukweli mtupu, tena kwa mapana na kwa marefu bila kupindisha pindisha wala kukata kona...coz nilishaamua kuwaanikia maisha yangu so nyie nenepeni tuu!!!
Swali lililoulizwa na watu wengi ni kuwa nilikatazwa na mume wangu ku'blog??!! Limeulizwa kwa mtindo tofauti tofauti,siwezi post coz of privacy ya watu ila the main point ya hayo maswali yote ni kuwa nilipokuwa kimya was sababu nimekatazwa kublog tena...
Labda tuu niwakumbushe kuwa, nilipumzika ku'blog late-January this year kwa sababu nilikuwa na mambo mengiiii sana kwa wakati mmoja... Nilishasema i had a lot in my plate kwa muda huo niliokuwa kimya, haimaanishi kuwa sasa sina mambo mengi...no, bado ninayo mengiiii tuu ila atleast sio ya kunichukulia muda mwingi as before... Sikuwahi kukatazwa na mtu ku'blog, especially my hubby(seriously,if nilishawahi sema ivo basi definitely nilisema kiutani na sikumaanisha kabisaaa) coz naona maswali mengiii sana kuhusiana na hilo... Jamaniiii, sikukatazwa ku'blog... nashangaa where do you guys get that story, ama is there any reason behind hadi muhisi nilikatazwa???!!! Mmmmmh...mmenishinda tabia,hahahahaaaaaa!!!
If and only if ikitokea hiyooo sababu ya kukatazwa ku'blog basi mjue nitawaaga kwa heshima na taadhima, na nitawaelezea iyo reason ya kukatazwa na pia nitaifuta kabisaaa blog yote... So kwa sasa ebu mpunguze homa jamani,mie nipo na nitaendelea kuwepo miaka buku!!!
Majibu yangu ni hiviii... Hivi kwa usawa huu wa anko'magu kuna mtu bado hajafulia???!!! Hahahhaahhaha...wallahy, kama yupo anayeishi maisha ya enzi za kikwete bado basi nampa salut... Life is tough, huo ndio ukweli...ila sijawahi kuwa tajiri hadi nikajikubali kuwa mie ni tajiri, so suala la kufulia labda kama lina ''definition'' nyingine ila kwa mie ninavyojijua na ninavyojiona Allhamdululah nisimkufuru Mungu,mie sijafulia banaaa...apo mnanisingizia aiseee,hahahaaaa!!! Aku, mie sijafulia...ka'hela tuu ka'bundle loh, sijawahi kosa...kwenye nguo mpya sasaaaa, hahahahaaa...Hivi mnajua kuwa mie napenda sana kupendeza eee???!!!! hata kwa nguo ya mia mbili ila nii'style tuu kiaina nitokelezee...hiyo ipo in my blood, haijawahi kuishaga yaani...so niwe na nguo mpya au za zamani still mie bado napendeza buanaaa, na nikipendeza tuu picha ni lazima, ndio maana haijawahi pita siku bila kujipiga picha...i know sina nguo za kutishaaaa kiivyo hadi nianze kujishaua nazo ila mmmh mie sio wa kauka nikuvae...
About hair style pia mnanionea tuu, hahahaaa...Ivi si mnajua how nakiaminiaga kichwa changu?! Weeee, asikuambie mtu yaani,mie kwenye kichwa changu hata nisuke style gani ama nishonee wiving lipi ama nivae wigi lipiii, hakuna style ninayoiaminia na kuikubali kama nikiwa na my natural hair, i see the beauty in me nikiwa na natural look zaidi ya artificial hair do...haimaanishi sipendi kuweka artificial hair,no..mie mwanamke buanaaa...lazima sometimes nijiwekee manjonjo manjonjo, ila haimaanishi nikiwa sijajiwekea basi ndio nimefulia nooo sometimes i enjoy my natural hair more than makorokochoz kichwani kwangu...na picha pia napiga nyingiiii tuu hata nikiwa na my natural hair, maana nazikubali hatareeee and zipo smart na safiiiii!!!!
Suala la ''outings'' pia you just chill and see...you'll be the ones to judge, coz picha zipo kibaoooo...yaani ni nyingiii mno so niwatoe tuu wasiwasi wapendwa wangu kuwa ''outings'' zangu zile zile tuu za kikawaida zipo kama kawaida...
And the good thing is i am living my real life, so sina hata haja ya kukimbia blog kisa hizo sababu mnazoziwaza...coz mie sijawahi kuwa na ''outings'' za kwenda Paris, sijui China sijui wapiii akaaah, mie ''outings'' zangu hata nikienda tuu ''breakfast-date'' na F-babies mie iyo ni bongeee la ''outing'' yaani...
Yesss dears, the depot ipo...we still operates as kawaida and sababu ya mimi ku'base sana na ''GF SHOP'' ni kwa vile naipa promo bado, depot imeshazoeleka zaidi and ki'duka cha mangi si mnajua ilikuwa a new business eeeh? ndio imeanza this year so nilikuwa muda mwingi nautumia kukijengea mizizi zaidi...
Swali lingine was about my family...me and my hubby na watoto if tupo pouwa... Hahahahaaa, i dont see the reason kwanini tusiwe pouwa jamani??!!! Watu mbona mwanichimbaaa... hahahahahahaaa!!! Jibu ni kwamba, tupo pouwa...sana tuu, namshukuru Mungu kiukweli,we are owky...Perfectly fine!!!and busy kutafuta baby number three...hahahahaaaaaa
Msisahau kuwa, Nawapenda sanaaa....
Till next time,
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment