Hapo zamani za kale(nikiwa mwanafunzi) kipindi cha likizo mie na mama'angu tulikuwa tukiongozana sana, nilikuwa na'enjoy kuzurura na mama when tupo na gari, but tukiwa kwa miguu yaani ilikuwa lazima nimnunie tukifika home...
Reason ya kumnunia ilikuwa ni how atasimama simama njia nzima kunitambulisha kwa everyone she meet (hadi wale tunaofaamiana yaani bado atawatambulisha kuwa huyu ni yule binti yangu,ataje na jina na aseme nilikuwa wapi and bla bla nyingiii)
I never understand why she was repeating doing that kila siku(hata kama jana yake nilimnunia yaani bado atarudia tuu)
But,
Ever since nimempata Faith nimeelewa hizo ''special feelings'' nimeelewa kwanini mama'angu alikuwa hachoki kunitambulisha kwa kila mtu,kila siku...
Sorry mama kwa kuwa nakununia..(i hope Faith hatanilipizia na mie mnuno) I didn't knew why you did that until Faith alivyoni'teach practically....
Mimi pia sasa natamani nimtambulishe huyu binti yangu kwenu wote kila siku... It feels amazing kusema tuu ''this is my daughter'' ''mwanangu'' Lord...i love the feelings za kuwa na binti jamani...it feels toooooo good yaani siwezi hata explain...
What else should i say... Thank you Baba Mungu,
am in tears yaani nikiziangalia hizi picha, napata furaha iliyozidi kipimo hadi machozi yananitoka...
Aaaaww...my baby, wajina wa mama'angu...
Faith wangu mie!!!
Too much cuteness in one simple picture...
That million dollar smile got me shout HALLELUJAH!!!
Twinning...
She is a girl next to my heart...
Sweet'heart...
I love her more than love itself...
Just us katika ubora wetu...
Dearest...
Huyu ni binti yangu... Anaitwa Faith!! Hahahaa... (Kwa kusema tuu ivo yaani nimeshanenepa mie,uuuuwiiii #dietNeeded#slimmingHerbs)
That look...
Lord!!!Asante, maana hata nakosa words za kusema..
Faith Fred...
My totoo...
My shostito and my best friend of all the time...
Tunajishaua kwa raha zetu....na saresare-maua zetu!!!
Sweetest smile everrrr!!!!
We love you all so much,
XOXO!!
Naenda kuzaa wangu kiruuuuu sio kwa kunirusha huku roho.. Mmependezaaaaa
ReplyDeletehahahahaaaaaaa
ReplyDelete