Dah!!!! nakosa hata neno la kuwaambia for real, maana hii ni zaidi ya kuwa'miss...
Kiukweli nimewa'miss too much, mnoooo...i missed being here and i miss everything about us...Na my F-babies pia wamewa'miss sanaaaaaa!!!

Ni story ndeeeefuuuuu sana ambayo i wish niwaadithie now but msijali, time will tell and kuifupisha tuu for now ni kwamba nilipumzika ku'blog kwa muda kutokana na mambo mengi mengi tuu, i just had a lot in my plate for the past two or three months ila sasa alhamdulullah nina muda wa kuwa na nyie tena..


And, mnajua ni nini??!! I am very back, na sina plans za kupotea tena any time soon...so mkae mkao wa kula tuu ubuyuuu, coz tutaenda sambamba sasa almost kila siku kutakuwa na new post, ama vepe??!!!
Na msisahau kuitana eee, hahahahahahaaaa....raha ya mdundiko tuucheze wengi buanaaa, kwani nani hataki kujua Gf alipotelea wapi all that time??? pengine kweli ''sponsor'' alimpiga stop ku'blog, hahahahaa, au labda alifuliaaa so akapotea ku'maintain status, hahahaa..chezea magu wewee!! au labda kunayo ya zaidi nyuma ya kupotea huko...
You just stay here, coz hapa ndipo the only right place where you can get ubuyu wa ukweliiii about Gf, huko kwingine watawapeni story za kusadikika tuu...

I am back, tell a friend to tell a friend kuwa the GF is backkkk!!

Nawapenda Sana Wote,
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment