So when i came across these pictures nikaona heyyy why dont i share them with you leo na hivi na'fell ki'partyyy party, bora niyafurahishe macho yangu hata na picha za cake...Hahahaaa!!!
So nilikuwa nipo too busyyy, ndio maana hata ku'blogg niliku'sucrifice kwa muda...i had so many things to do yaani, and biashara yangu ya unga (GF SUPER SEMBE) ndio ilikuwa imeanza anza so nilikuwa naijengea roots, si unajua tenaa mambo za biashara mpya na hii hali ya ankoo-magu, the competition pia was changamoto so i had kujizatiti nijenge mizizi imara, ili nitakapo'settle niwe tuu ni kupokea oda, kufanya production na kutuma mizigo... So you can pata picha how busyyyy nilikuwa, and still mie bado ni mama, bado ni mke na bado ni boss, hapohapo ni blogger...so vyote hivyo nilikuwa naenda navyo sambamba hadi late January this year, u'blogger ndio nikaona sasa huu utanishinda kidogo...Ilaaa picha zilikuwa ni lazimaa ziwepo, coz niliamini ipo siku nitakuwa well settled tena and i'll have time ya ku'blog...
It was my son's seventh birthday...and that time tuliifanya tofauti kidogo,maana tulizoea zile birthday-party za kinyumbanii with family ama tukitoka na few friends basiii...hii ilikuwa tofauti, ilifanyikia shuleni kwake, in his classroom with his classmates and his teachers, few mama's friends and of-course dada la dada(Faith) nae alikuwepo...
My F-Babies wapo shule moja ila ina branches tofauti, Faith yeye yupo branch ya mjini and Fred yupo branch ya kijijini kidogo...next year wote watakuwa branch ya kijijini, coz nayapenda mazingira ya shule kwa mtoto yawe out of town...i feel like inampa nafasi kubwa sana ya ku'concetrate na masomo zaidi...Faith had an exeptional case ya kutokuwahi kwenda kijijini coz si unajua she is mama's flower...haahahahaaa, nataka awe karibu ili nikim'miss tuu fastaa naenda kumuona, but from next year tumeshakubaliana atahamia na yeye shule ya out of town...
Menu was simple bites, juices, soda na pipi's ofcourse...
Cakes hizi zinapatikana Gf Shop, kiduka cha mangi G beibyyyyy....Ni tamuuu na zipo in different shapes and flavours
Aliwalisha cake woooteee, ila i only share few pictures ziwawakilishe wengine wote...
Napenda nimshukuru sana Mungu kwa kunikuzia vyema mwanangu, he is all i need and more...yaani Fred fits kila gape in me for a baby boy(sijui nikipataga baby boy mwingine itakuwaje,dahhh) My son is everything to me, this boy is soooo loving and beyond...he's too much!!!! Fred completes me, i feel full settled and well satisfied kuwa naye tuu as my son...naogopa kukufuru ila Mungu anajua haja ya moyo wangu...
Pia niwashukuru tena kwa mara nyingine walimu na wanafunzi wenzake kwa kujumuika nae kwenye siku yake hiyo ya kutimiza miaka saba...
My few friends tuliokuwa pamoja that day pia asanteni sana...mlitishajeeee sasa!!!hahahahaaaa
Mama T cakes delight pia asante shogaa kwa cake tamu, hujawahi kuniangusha mamy!!!
Till next time... ni mie muuza ki'duka cha mangi,
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment