PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Tuesday, August 22, 2017

RANDOM SELFIES-PICS....

Hellow dears,Karibuni katika ulimwengu wangu wa picha... The below two pics hiyo hair-style nilikuwa inspired by the Original Tanzanian-sweetheart ''Ze madame W.S"
Image may contain: 1 person 
Optimism is the faith that leads to achievement. Nothing can be done without hope
Read more at: https://www.brainyquote.com/quotes/quotes/h/helenkelle164579.html?src=t_motivational
Optimism is the faith that leads to achievement. Nothing can be done without h
Read more at: https://www.brainyquote.com/quotes/quotes/h/helenkelle164579.html?src=t_motivational
Optimism is the faith that leads to achievement. Nothing can be done without hope
Read more at: https://www.brainyquote.com/quotes/quotes/h/helenkelle164579.html?src=t_motivational
Image may contain: 1 person, smiling
You all know how i loveee taking photos eee, sasa leo nipo in a mood ya ku'post a random selfie-pics of me, myself and i... 
Picha zote hizi ni za between April to July this year!!!
Enjoyyyyy....
Image may contain: 1 person, closeup
Image may contain: 1 person, closeup
Me in Bambucha hair-style...
Kwa almost a week (kipindi napiga hii picha) nilikuwaga addicted na vilemba... And i styled them in my own way, elegant!!!
Image may contain: 1 person, sitting and closeup
Image may contain: 1 person, selfie and closeup
Mama la mama...
Kuna kitu kimoja i would like to share with you all ambacho nadhani huwa kinawa'confuce'gi wengi... Mie ni mtu wa ''my own business'' unless someone decide to jump into ''my business''.... And niliamua hivyo na kuweka wazi kwa kila mtu tokea the very start of this year...niliamua kuwa ni mimi na mambo yangu tuu... Sitaki chokoro-chokoro maana i got a loooooot in my plate, na usawa huu wa anko-magu jomoniiiii kila mtu a'mind businesses zake...
Na ndio maana i said...and i always kusema una dukuduku lolote about me, yaaniii anything kinachonihusu pleaseee come straighttt and ask me, niulize mwenyewe lolote likukereketalo about me na i swear nitakupa ushirikiano 100%... no kupindisha pindisha, no kukwepa maswali and definitely no kukuzodoa..yaani nakupa ushirikiano ulioenda unyago!!!
Sasa why bouther yourself?! Why kujinyima rahaaa na uhondo wa maisha kwa kunichunguza kwa watu wasionijua in and out as i know myself???!!!! 
Nyoooo...(In Nigerian voice)


Image may contain: 1 person, selfie, closeup and indoor
And here i go short...In a short-hair style, my favourite style of all the time!!!
Yaani kama tuu sio mwanamke shurti uwe na matashtiti, wallahy ningekuwaga nanyoa tuu...i loveeee me in a short hair some-more!!!
Ila sasaa, ndio najiona kama vile nime'miss something nikiwa in a short hair kwa muda mrefu... Napwaya haswaaaaa!!!! ni lazima tuu nitafute mbwembwe kidogo za ku'spice up my head, au my face ama wherever... 
ilaaaaa, kiukweli napenda nywele fupi fupi kiasi, ziwe waved and zing'aeeee,safiii all the time...
Marshalllah!!!!

Image may contain: 1 person
Image may contain: 1 person, selfie, closeup and indoor
Image may contain: 1 person, selfie
In a Kiduku-style... Rule number one in fashion (1.There is no rule) so who said m'mama can't rock the Kiduku style?! Hahahaaaa... Ila hakikudumu kwa muda mrefu, maana Kiduku kina dressing-code zake flaniii iviii zilikuwa zinanishinda kwa muda huo coz i was extra-kibonge!!!
Image may contain: 1 person, selfie and closeup
Image may contain: 1 person, selfie and closeup

Taking the Kiduku-style in a higher level... Hahahaaaaaa, hii sasa ni Kisahani-style maana sio embeni tuu, nilinyoa hadi nyuma kabisaaa...
The style didn't last long ila each day with it nilikuwa nahakikisha nime'make the most of it!!!!
Image may contain: 1 person, indoor
Image may contain: 1 person, indoor
Image may contain: 1 person, indoor


Love you all,
XOXO!!!






















No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT