Hope mpo pouwa...
Nikiwa bado najisahaulisha majanga ya house'girl kwanza ndio nianze kuwaadithia about ''road trip'' ngoja kwanza tuwe na week ya Deborah... Yes, this is her week!!
Debby's week...
Hope wote mnamfahamu Deborah, a.k.a Debby and I sometimes call here DoroBucci.. Faith used to call her ''aunty boboo'' ila sasa anamuita ''aunty debo''... My other sisy(Da'Ruth) call her Debrah (it sounds like dibra) But you can call her Doctor Deborah!!She is about kuzaliwa tena, and this time gonna be special maana ndio kwanza anaanza her 20's life.. Isn't that amazing?! Yessss, ofcos it is...
Kwanza as fashionistas tuanze na mambo za swagger yanavyobamba in your 20's..
Hakuna miaka mitamu in girl's life kama miaka ya 20's jamaniii, tuwe tuu wakweli.. In 20's kwanza ndio unakuwa ''a lady'' unakuwa huru na mambo yako, you can do anything bila kubanwa banwa na mtu na jamii haitakushangaa...
Ebu change your dressing code ukiwa kwenye teen'age uone midomo ya watu... Wengine watasema ''eeeh,ni utoto huo akikua ataacha'' wengine pia watadhani ''mtoto anaharibikiwa huyu'' ila when you are in your 20's people will say ''she is a mature lady so avae anavyojisikia'' and others will say ''umri unaruhusu''... Pia ukishapita 20's uki'chang dressing code yako ndio utakoma zaidi, hahahaaa... hata mie nitakusema aiseee ''sasa ulikuwa wapi siku zote, unavuta shuka wakati kumekucha??" ndio tutaona sasa umeamua kuwa sweet'sixteen kinguvu yaani....
Just try to have your love life open before 20's hahahaaaaa, utatamani uhame planet earth aisee, watu wata'complain ''mtoto malaya huyu'' mara oooh ''anakurupukia mambo ya kikubwa mapema lazima yamshinde'' lol.... acheni izo bana, mie I started dating my hubby nikiwa in my teen'age na bado hayajanishinda mbona???!!! So, huwa naamini tatizo si kukurupuka ila tatizo ni age ya teen sio rafiki kabisaaaa kwa mambo mengi... That's why I love 20's... hahahaaa, maana its a friendly age kwa kila kitu...
Same pia kwa mwanamke after 20's kila mtu atataka kujua about your love life, wakiona kimya wataanza kuhoji pia maswali kibao, na wengine watakuja na plan B... Hahahaaaaa!! nani hajui plan B????? Aaaahhhhh.....mnajua banaaa...
Ambaye hajui Plan B na anaona age inasonga aisee ani'check private nimwambie asije chelewa chelewa akakuta.........!!!!!
Ukiwa in your teen'age ni asilimia chache sana ya wanawake wanaowaza kumiliki big business, kuwa na fixed assets au hata kuwa na stability ya maisha.. Waweza pata pesa ndefu and still ikaisha huna hata cha maana ulichokifanya, but in your 20's my dear you can completely change your life... Kwa kipato kidogo tuu waweza fanya wonders in your whole life.. Unawaza maendeleo pamoja na future yako.. Na ukiona wewe umeshavuka your 20's bado huna maendeleo au hatua yoyote uliyopiga katika maisha yako my dear count yourself as a number one fool maana in 30's ni age ya kuendeleza what you got from your 20's... Sasa ukipitisha 20's patupu expect your 30's to be more worse!!
Unataka uwe kitoto toto bado, ki'dada duu au uwe na bibi's look??? You wish to have a love of your life ama you are oky to be just you and yourself??? You wanna live like a queen ama you'll be oky to be kijakazi???
Choose wise... Think critical and decide how you wanna be like!!
Yote hayo usisahau kumshirikisha Mungu katika kila hatua ya maisha yako.. Maombi ndio kila kitu mdogo wangu, si you know the power of prayers??!! Kuna nguvu ya ajabu katika maombi so itumie nguvu hiyo to make wonders katika maisha yako, sawa eeeh??!! Ila nakuaminia Doctor wetu...
Happy early-birthday wishes girl!!
Much much love from me, F-Babies and Fred...
We all love you so very much!!
Have a Blessed week everybody,
XOXO!!
...am humbled!
ReplyDeletenice one G!!!
ReplyDeleteMy kipenzi looking dope
ReplyDelete