Welcome to my beautiful world of blogging...
One thing very clear is, i really love myself very much!!! Najipenda sanaaa nilivyo ila tuuuuu one thing always kinani'let down about me ni Ubonge... Nani nimgaie huu ubonge jomoniiiii...Hahahaaaaa, maana aiseee unanichoshaaaaa...
Slimming herbs and Diets zimeanza kuwa my life-time thing, kitu ambacho kiukweli ni kigumu mnooooo... Mazoezi nayo ni wito wallahy,naumwa mwili wote nikifanya mazoezi yaani tabu tupuuu.... i wish there is any other eassssyyy way ya kuupunguza huu mwili...maana ningeifanya at any cost!

Cheki mashavu jomoniii...hahahahahaa!!!
Ila my hubby said yananiongezea u'baby face...sasa sijui its just a way to make his wife feeling great ama ndio love is blind-thing...hahahaaaaa
Ndio maana sikondi, na nachukia kukonda...i only want kupungua, and nahisi ninazo kama 10kgs to cut off... Ooooh lord,sijui hata naanzia wapi kuziondoa?? maana i added them so easyyyyyy, just in few days nimefutuka like neverrrrr before....hivi ina maana hii hali ya anko'magu mie imenipendaaa???au ni dharau zangu tuu??? Hahahahaaaa, i am actually laughing out sooo loud right-now, maana nimekumbuka joke moja eti ''kunenepe wakati nakudai ni dharau'', lol ...kweli hizi dharauuu za kizungu....lol

It was really nice to be here, till next time...
Nawapenda sana,
Nawapenda sana,
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment