Siku chache kabla ya Mwezi Mtukufu wa
Ramadhani kuanza, ndoa ya Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani
kupitia Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ na mumewe anayepiga mzigo
TV1, Ezden Jumanne yavunjika
Chibu Dangote wa Tz a.k.a Diamond Kumtoa Wema Kimataifa!
“Hapa juzi kati kulikuwa na mazungumzo, kuna mtu mmoja anaitwa Frank
yupo huko Ghana, ni mtu mkubwa sana, na yeye ndio anaandaaga zile tuzo
za Ghana, kwasababu kuna movie anataka kuifanya baby. Hiyo movie wajue
kabisa eeh Sepetunga kaachia mashine mpya. So jamaa yule ana link na
watu wengi nikajaribu kuzungumza kuwapata actors na actress ambao
anaweza kushirikiana nao kwa sababu namna pekee ya kuweza kutanua market
yako katika kazi yoyote ni kushirikiana na mtu ambae yupo katika nchi
nyingine ili kuweza wewe kupenyeza bidhaa yako wewe na yeye apenyeze
bidhaa yake kwako,” alisema Diamond.
Bado Diamond hajamaliza, akaendelea....
“Kama akina Van Vicker sijui akina nani, nimefanya mazungumzo nao
kuangalia namna gani wanaweza kufanya movie na movie ifanyike Tanzania
au ifanyike Nigeria au ifanyike Ghana. Ghana, Nigeria ni nchi ambazo
zina nguvu kwenye soko la movie Afrika. Wakati nazungumza nao pia uzuri
ilikuwa ni rahisi hivi baby kamlink sehemu yoyote ni rahisi sana kwa
sababu kwanza ana content nyingi za movie zake. CV zake ni rahisi
kumwambia mtu hiki na hiki, kwahiyo mtu akiona anashtuka, yaani mtu
anakuwa excited kufanya naye kitu. So na wao pia kuna movie wanataka
ashiriki uzuri pia wakasifika Kiingereza chake ni rahisi zaidi kufanya
naye kazi. Kwahiyo mwenyezi Mungu akisaidia kuna mipango itakaa sawa
basi mwaka huu utakuwa ni mwaka wake mzuri na zaidi nafikiri hata kabla
hata mwaka haujaisha hii project itakuwa imekamilika labda inaweza kuwa
out sijui yeye ndiyo anajua zaidi lakini. Wajibu wangu ni kutekeleza
kuona kwamba baby amefanya movie na fulani na fulani kutoka nchi fulani
na movie imekuwa fulani na kulingana alivyokuwa mwanzo na sasa hivi
aonekane ame advance kutoka pale alipokuwa mwanzo.”
All the best Mr & Mrs Tanzania.... Kisses back!!!!