Si unajua kizuri kula na mwenzako eee.. Sasa na mie baada ya kupewa mazuri, leo nimeona niwagaie na nyie ili nisifaidi mwenyewe, ebu karibuni tule wote mazuri haya....
This is for my fellow team Vibonge, mnajua unene sio afya eeeh??!! Ukiwa mnene kwanza unakuwa rahisi kupata maradhi mengi kama BP, sukari, kuumwa miguu n.k Hope wote hatupendi kuumwa umwa hayo magonjwa kwa kujitakia eti kisa tuu tunakuwa vibonge tunaojielewa....
Pia as i always say, fashions nyingi tamuuu hazinaga size kubwa, this is damn true... Nguo nyingi zinazokwenda na wakati ni tabu sana kupata plus size, na hata ukibahatika ukapata plus size aiseee hunogi kama wanavyonoga wenye middle-size body, huo ndio ukweli wapendwa hata msinune maana leo ninawapa solution kabambe!!!
Niki'post post inayokataa unene jamani vibonge wenzangu mnanizodoaga na private msg, please leo msinizodoe maana najua we are all struggling pamoja... Tusikate tamaa hadi siku ambayo kitaeleweka, ama neneneeeee.....
Pia haimaanishi tuwe vimbao-mbao kabisaaa, noooo!! Those bikini bodies tuwaachie kina naniiii waendelee tuu kuturusha roho sie... Ila na sie tuwakomeshee na ma'shape yetu ya kibantu ambayo hayana manyama uzembe... Tuwe na shapes zinazoeleweka hata ukivaa nguo unajikubali maana kiuno unakiona kipo wapi na hips na haggazzz pia ziwepo....
Ivi mnajua mwana'dada ukiwa kibonge sana sometimes unaona hadi aibu kuongozana na hubby/mpenzi/boyfriend wako eeeh... That's my experience na kwa wale wa karibu yangu pia huniambia the same...
Sijui kama nyie vibonge wenzangu wengine mnajisikiaga comfortable, ila mie sema ukweli nakasirikaga sanaaaa ninaponenepa... Mie ni mnene kiasi ila kuna mwili nikipunguga ndio naupenda zaidi..
Sasa nikiwa nimeongezeka unakuta naongozana na hubby then mtu anamsalimia hubby ''mambo" kishkajiiiii ila akija kwangu anawekaje heshimaaa ''habari dada'' lol... hapo unakuta huyo mtu ni age-mate na hubby ila anavyonisalimia utadhani anataka aseme ''shikamoo dada'' hahahahahaaaa....
Wakati my hubby kanipita karibia ten good years..... Yessss, about miaka kumi (mmeshangaa eeeh??!!! maana hata kwenye picha utadhani tumepishana two years eeeh, hahahaaa) I hate that!!!
Najua wa'dada wengi hii huwatokea pia, na najua hamuipendi... Tena inaboa zaidi huyo mtu akiwa mdada ki'portable... Unanunajeee, unaanza kuwaza au anamtaka mume wangu kisirisiriiii... Hahahahaaa... Dears, hamna kitu kama hichooooo, walaaa hamtaki mumeo, ni kwamba tuu mwili wako unaonekana wewe ni mkubwa so mtu anajitahidi asionekane kakushushia heshima.... So ujichekeleshe tuu hata ukipewa shikamoo jibu marahabaaa with a smilling face hadi pale mwili wako utakapoweza kuwaambia watu ''mie sio wa shikamooo''
Sasa let's say BIG NOOOO ya kuzeeshwa wakati hataaa 30's hatujazianza, hata kama umezianza 30's still kila mtu hutamani kuwa forever young eeeh....
Sasa mkae mkao wa kuwa wa'dada duu mujini hapa, ni dawa ya asili kabisaaaaaaa na ipo scientific prooven na imethibitishwa na tbs kuwa na uwezo wa kumaliza mafuta yanayozidi mwilini, kutoa unene na kitambi kabisaaa...
Yeah, you got me right.... Yaani unakuwa size ile waitamani wewe kuwa... Si unajua sie wa'mama baada ya kuzaa tuu ndio tunaharibu ustaarabu mzima wa matumbo yetu eeeeh?! Tena ndio uwe wa kisu kama mie, hahahahaaa... Tumbo lazima likupwelepete (In kaka Diamond's voice) Sasa let's say NOOOOO to kupwelepwetwa matumbo, ama neneeeee!!!!
No more gym (nimefurahi maana nilivyo mvivu) no more serious diets (nimefurahi pia maana nafanyaga diet hadi naumwa ulsers) sasa ni mwendo tuu wa SLIMMING HERBS "BODY SLEEM" kwa kwenda mbele...
Ina sharti moja tuu kubwa, unapoitumia ni lazima unywe maji si chini ya 3liters per day, yes....unywe maji sana, kunywa maji as much as you can...sio lazima unywe maji ya moto, nooo...wewe kunywa tuu maji unayoyaweza, yawe ya baridi ni sawaaa na yakiwa ya moto pia ni sawaaa ila bora unywe maji mengi...
As the process za kupunguza mafuta yaliyozidi tumboni ikianza, utakuwa unapata choo kilaini au kuharisha sometimes... And if normally you got haja kubwa once a day, ukitumia hii dawa utapata hata 3times a day maana mafuta yote yaliyozidi mwilini yatakuwa yanatoka kwa njia ya haja kubwa na ndogo... So hata kama una tatizo la kupata haja kubwa hili ndio bonge la solution!!!
Raha ya hii dawa ni kwamba, kwanza kabisaaa inakupunguza tumbo na manyama uzembe ya tumboni... Rahaaajeeee!!!! Then tumbo likishaisha sasa ndio mwili mzima unapungua kwa ulingano sawa.... Usipopata figure namba nane aiseeeeee....hahahahaaa!!! Itakuwa wewe ni zaidi ya Mchagga!!!
Sasa how to get iyo SLIMMING HERB...
Ukiwa unajiona wewe kweliiii you want to say NO to magonjwa yanayosababishwa na unene, you want to say NO to kitambi na tumbo pelepwetwa, NO to manyama uzembe uwasiliane na mie fastaaaa kwa 0753 891 997 au uwasiliane na main-distributor wa mkoa wa Iringa (Wanamuitaga mamaa wa kutupia pamba kali) mie namuita Fetty akeee, kwa namba 0767 728 764 apo utakuwa umemalizaaaaaa tatizo lote la u'kibonge!!!
Kwa wasiomjua Fetty ndio huyu apaaa...
Kanajishauwajeee... anavyo vya kujishaulia lakini si mnaviona???!!! Hahhahahaaa, ngoja nitafute picha nyingine anayoangalia huku tumuone vizuri mama ya kutupia pamba kali!!
Aya sasa, ngoja tena niwape bonous picha ya Fetty ya mwishoooooo
Despite all the things, nampenda maana ni hustller... ni mtafutaji na fighter flaniii iviii amaizingggg!!!
Kwa sasa wajanja woooteee wa mujini hatutaki manyama uzembe dodiii!!! Hahahahahaa, nawaringishia maana na mie now nimeianza baada ya kupata mifano hai, sasa nipeni one week niwape picha zangu za before and after.... Hahhahaaaa.... Nakuwaje mtamuuuu, zaidi ya mcharo wallah!!!
Dida naye anaitumia, nani hapendi kuwa hiviiii???!!!
Akuuu, kila mtu anapenda aiseee.... Sasa ukiona gym inakuzingua, misosi kuacha ni tabu, ebu kamuulize Dida siri ni nini???!!! Ni kitu cha SLIMMING HERBS tuu darlings...
Ndio naye kaianza...ila mabadiliko yameshaanza kuonekana. Uuuuuwwwwiiii, tutavaaje crop-tops sie!!!!
Wa mikoani na popote nje ya Iringa pia wanatumiwa, wale wa Iringa piga au tuma msg kwa namba moja kati ya hizo hapo juu then utapata na wewe yako, kwa tshs. 50,000 tuu!!!
Kwa wote wanao'wish to be forever young, We have that solution for you!!!
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment