Habari za jumatatu?? Mine is sooo blue and I thank God for it..
Leo wapenzi wa mie let's talk about Denim designs, hii ni design ambayo almost kila mtu anaivaa.. Yaani kama wewe huna any wear ya denim basi jielewe kuwa you are not normal..lol!!
Denim is a geans type fabrics... Naamini usipokuwa na geans leggings basi utakua hata na kikoti, usipokua na vyote basi hata skirts, ukishindwa kabisaaa basi hata denim vests... na kama wewe ni a realy fashionista basi utakua na jump-suit ya denin eeeh?!
Denim leggings Available | Gf Boutique!!! |
Kwanza kabisaaa, demin ni fashion ambayo haipitwi na wakati, mtakubaliana na mie apo maana kuna wengine wana geans leggings zileeee za mwaka 47 but bado hadi now wakizivaa wanatoka bombaa!!! Apo wao ni ku'change tuu tops za maana, same geans for ages and still nawakubali mno..Big up kwenu....mmetishaaaa!!!
Second thing, kutokana na ubora plus ugumu wa denim materials inafanya denim wear ziwe zina'last longer... yaani nguo ya geans inaweza ikaishi hata 10years plus... So unaweza ukavaa wewe, ukaichoka ukamgaia shost akoo na yeye avaeeee, akiichoka akampa na naniii nae aivaeeee... Kwa raha zenu apo mie kimyaaaa!!!!
Tatu na mwisho... Denim fashion inakufanya uonekane forever young...Yes!!! Who doesn't love to look as young as ''sweet sixteen''??
Available at Gf Boutique!! |
Denim vest & leggings!!! |
Mashallah Mchagga Mie... |
I must bring that ''sweet sixteen'' body back... |
Mama la Mama akienda kuzisaka chapaa... |
Kiruuuu...where is my @$$ go??? |
Ukiona na'consetrate ivo kwa phone ujue ni ma'deal ya pesa hayooo.... Umbea sunnah ila haujawahi kunifanya nika'concetrate ivooo... Umbea ni after kazi mwaya!!! |
Ready to goooo... Bye!!! |
What are you waiting for my darlings???? Go grab your own demin min-skirts, leggings, vests, vikoti and much more........
Na wote tutokelezeeee....
xoxo!!!
mm raba zako tuu, zipo shop nije?maana juzi nilikuona na rangi nyingine pia mpnz
ReplyDeleteKaribu wangu, kila kitu ninachovaa mie kipo Gf Boutique....
ReplyDeleteLooking hawt
ReplyDeleteUmependeza
ReplyDeleteUpo cutieee
ReplyDelete