I have been talking about mashughuli recently, and kuna watu wamenishtukia kuwa i based sana on drinks tuu jamani... Lol, wapenzi wangu...mkiona kitu nipo nacho sambamba basi mjue apo ndio where i am good at...
Ila kwa vile nawapenda sana, i had to do my research about mashughuli, i got something we can talk about...kitu kingine nikipendacho apart from drinks...Fashion!!!
My wedding mwaka 47..Hahahaaa!!! |
Brides wa enzi zangu jamani ilikua full complicated... ubanwe na jelly yaani mara ma'accessories kibao dah...
Sasa tucheck bi.harusi wa digital time..very simple and clasic... Simple hair styles....
Siku hizi kwa kuangalia tuu picha ya nywele za Bi.harusi unaweza kujua kama hiyo harusi ni ya kisasa ama ya zamani....
Kim In a Simple hair style At her Wedding to Kanye!! |
Simple wedding dress...
Enzi zetu yaani gauni la harusi lazima liwe na watoto wa kulishika maana wasipokusaigia kulinyanyua waweza anguka...lilivyojazwa unnessesary details basi tuu ku'complicate mambo...Siku izi walaaaa, unalimudu gauni lako mwenyewee na unajimwaya-mwaya kwa raha zote!!
Sasa hapa ndipo patamu... maana enzi za mwaka 47 tulikua tunashona zetu sare za vitenge,n.k bore tuu uwe umevaa nguo mpya.. Lakini siku izi wapendwa lazima mjipange, na tena mchague na rangi ambayo ipo in the air (colour of the year)...
Mfano wa rangi zisizopitwa na wakati ni kama RainBow, Blue, Nude, Yellow, Red, Black and White
RainBow |
Blue |
Hope hadi hapo umepata atleast one thing you like.. Let's end here kwa leo, tutaendelea tena some other day Mungu akipenda...
Let us all look as simple as possible kwa harusi na tupendezeee!!
Love u....
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment