Habari zenu.. Am good, healthy and blessed kweli namshukuru Mungu...
Kila siku Mungu give me something to be thankful, and leo am thankful for my sisters..

Yaani namshukuru sana Mungu kwa kunipa a lot of sisters... maana ninao wengi alafu wote wa ukweliii...
Me & my baby'sisy Deborah!! 2013 |
Mie (mzazi wa Faith apo) with my sisy Ruth a.k.a Mama Baraka,She came to help me out with uzazi wa Faith!! |
Eve helped me out with ubatizo wa Faith |
Zayrose & Eve came kunitoa uzazi wa Faith...lol!! Walini'spoil hadi natamani nirudishe siku nyuma...Hahahaaa |
Mzazi got spoiled...lol |
Zayrose, me & Eve...Iringa by Night!! |
Hao ni baadhi tuu ya sisters nilio nao... another day Mungu akipenda nitawaweka wengine.... Let's be thankfull for our sisters...
Love u...
XOXO!!!
Aaaaawwweee ♥♥♥♥♥
ReplyDelete