Hope mpo pouwa, so do I... Ila nipo busy jamani, dah!!! Busy kusaka pesaaa!!! Hizi pesa hizi si zijae tuu siku moja na mie nianze kuwatunza watu kama Madame, Lulu, n.k Hahahahaaa....
Oky dolls, here are picha zilizougusa moyo wangu leo...
My sisy'Ruth a.k.a mzazi and his son Baraka... Love you people a lot!!!
Mama & Son.....
Blessings....
Baraka wetu... Aaaaaww!!!!
Mshweeeeettttyyyy!!!
Nawapenda sana!!
XOXO...
Wazuri
ReplyDelete