It's blue Monday, i am very fine ila hapa nimeamshwa eti nisome comments zilizopostiwa jana.... Kiruuuu!!!
Naona kuna mtu wants to try touching me to my very sensitive places and please naomba nichukue fursa hii kumjibu huyo anayejiita mkereketwa, naona alikereketwa sana hadi jana akaamua ku'comment kwenye post ya Sunday September 7, 2014 yenye heading ya ''HAPPY SUNDAY'' ambayo nili'post picha za Faith, my daughter and fashionista...
Kwanza kabisa, Thanx kwa hongera,maana nastahili hongera.. Pili, Fred ni mwanangu wa kumzaa kabisaa, actual he is my first born and nahisi you know nothing about me ndio maana ukaandika madudu hapo, waulize wanaonifahamu watakuelezea how deep i love him... Tatu, nadhani wewe bado mshamba kwenye swala zima la afya, nani kakuambia manyama uzembe ndio afya????? Kwa faida yako tuu please tembelea kituo chochote cha afya kilichopo karibu na wewe upewe maelezo juu ya afya bora ya mtoto. Nne, sim'post Fred mara nyingi huku kwenye blog yangu maana he is a gentle'boy, hawezani na ma'purukushani ya huku kwenye blog so Faith ndio mahala pake hapa maana yeye ndio shosti wangu and pia mwanamke umbea ni sunnah! Na nilishasema this is my blog, so na'post ninachojisikia... wewe kama hujakipenda pita kimya kimya uchape mwendo.. Tano, inaelekea pia mujini umekuja juzi juzi so bado mgeni wa mji unataka nikuelekeze how to dress your baby boy, basi ungeniuliza tuu kistaarabu na sio kuja na maneno yako ya kisenge hapa....
Na sasa hii ni Special for you mkereketwa;
Hizi ni picha chache tuu za Fred akiwa kwenye pose tofauti tofauti na different places too.... Comment na hapo sasa....
Fred akiwa Home Sweet Home...Gangilonga!!!
Red & White Combo With a touch of Denim..
Fred akiwa Home...
Green with draft and brown boots!!!
Fred akiwa Mbeya City
Blue mixed na classic draft for boys..
Fred akiwa Gentle Hills Hotel...
Colour mix swagger for classic boys!!!
Fred going to Library...
Strips sweta and short!!!
Fred at Home...
Stylish boy!!
Fred at Gentle Hills..
White and red with a touch of black...
Fred at J.K.Nyerere Internationa Airport....
Baby boy's cartoons swagger!!
Fred at Home..
Green & Black swagger!!
Fred going Somewhere...
Fabulous boy!!!
Waiting for his laguaes at airport |
he arrived safe... |
Zoom to see his Car keys mkononi!! |
Mpaka hapo mkereketwa najua utakua umejionea aibuuuu, maana nilivyopata wassap eti nisome hiyo comment yako, nikajua bonge la comment ili niijibu faster kule kule, Heee...nilivyokuta ni full non-sences nikaona nikikujibu kule kwenye comment sintaweza kukupa u halisia wa mambo so hii post is special for you, hope sasa umeelewa hivyo vyote vilivyokuwa vinakukereketa...
Na niliona pia ningekuchelewesha kukujibu ungesema nimejipanga kwa vile umeongea... Pole dear, unapopalala wewe mie nilishapaamka... Am neither your type nor your level.. I am next level, wewe mwenyewe unanikubali hata kama kimya kimya.. Hahahahaaa
And, am sure una baby boy so ulitaka ujifunze kumvalisha... Iga kama una vigezo... Ila kama ndio wategemea pesa za mgao kama mmepangishwa foleni kwenye kuchota maji, utaishia kumvalisha baby boy wako sagura sagura.... Hahahaaa... ''Mtoto wa mwenzio ni wako'' koma tena unikome haswaaaaa... Mie sio hao uliowakuta na watoto kama kituo cha dogo dogo center!!!
Sibanii wala kuzuia comment ya mtu hapa ila uki'comment upuuzi in pictures za watoto wangu nakumwagia upupu live!!!!
Nani mwingine kakereketwa????
Hahahahaa...Tufanye kazi sasa.
Love you all,
XOXO!!!
Hii ni blog ya G na atapost anachotaka yeye.. Jamanii watu wana mambo duh.. anyway nahisi ujumbe umeupata mkereketwa. Love u Fred akee afu umenogajeee hahahaa tumepata bonus ya picha leo Hehehee ♥♥♥♥
ReplyDeleteMwee.. umempasha, hahahah ila amekurupuka na comment yake, ona sasa fred alivyo juu, ushawai panda ndege weye mkereketwa?
ReplyDelete