Dah...missed you all so very much!!! Had a very very busy week but namshukuru Mungu maana ilikuwa busy week ya pesa ndefu... Zilikuwa mambo za Bag parties, Weddings and Kitchen parties za ukweliiiii......
Am very thankful kwa kweli to all the families and kamati za maandalizi zilizoiamini Gf Min-Depot kuwa supplier wao wa drinks kwenye sherehe zao this week.
Mnisamehe hata pale mlipoona kama nilikuwa nawapelekesha, very sorry dears wa mie na mjue kuwa nawapenda sana and mie bila nyie nitachemka..
Asanteni wote pia, kwanza kwa kufikisha viewers 10,000 kwa blog.. Mmetisha watu wangu wa nguvu, nawapendaje sasaaa.. na pili kwa maombi yenu, tatu kwa mapendo... nne na mwisho kwa kila jema mlifanyalo juu yangu... Asanteni eeh!!! Hahahaaa....
Now am back and nina picha nyingiiiii na nzuriiii za matukio mbalimbali so you all better be here kila siku ili ujipatie uhondo...
God Bless You All...
Happy Saturday!!!
Amen darling
ReplyDeletenapenda maisha yako
ReplyDelete