PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Thursday, September 25, 2014

FASHION TIPS.. HOW TO APPLY EYE-SHADOW

Dolls...
It's a lovely thursday... Am very happy leo maana my Deborah has come kunitembelea before going to chuo.. Happy me!!!
Alright, leo tujifunze mambo za urembo... Darlings, to apply eyeshadow is an art so kila artist ana techniques zake na maujanja yake binafsi katika swala zima la kujipara...

Wee ukiona mwenzako kapaka marangi rangi ukaona ni ushamba ujue basi wewe apoo ndio mshamba.. Maana vile alivyopaka ndio technique yake yeye kuwa unique na kutoka bomba... 


Ongeza muonekano bomba zaidi wa jicho lako.. Mwanamke jichoo babuu!!!

As i said it's an art so kila mtu apake anavyobuni yeye na akili yake bora tuu za usiku zipakwe usiku na za mchana zipakwe mchana... Yes, hapo ukianza kutupakia shadows za usiku mchana ndio tutakuona mshamba...Hahahaaa!!!


Mdada ukijipaka eye-shadow unaongeza urembo wa muonekano wa jicho lako. Alafu hivi unaachaje kujipaka Eyeshadow wakati zinapatikana kwa bei rahisiiii kama nini...

Wewe nipigie tuu 0753 891 997 ujipatie your own set of Eyeshadow yenye two sided brush kwa ajili ya kupakia pamoja na Eye-liner ya rangi yoyote ile uipendayo..


Ukishindwa kuwa mrembo basi utakuwa umeamua tuu mwenyewe kwa kweliii...


Aya sasa uangalie video how to apply eyeshadow ili uendelee kuongeza  maujuzi ya kujiremba...

Mie najipakaga eyeshadow ila sasa baada ya kutazama hii video kweliiii nimejifunza mbinu mpya zaidi and am sure muonekano wangu utazidi kuwa bomba zaidi... What are you waiting for??? Ebu nipigie faster upate your own set of eyeshadow kwa affordable prices... Zipo za kuanzia tshs. 5,000 hadi za tshs. 45,000 yaani ni wewe tuu na unavyojipenda!!!


Moyo wangu hauna nafasi ya kumchukia mtu, nawapenda wote...
XOXO!!!






2 comments:

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT