Wapenzi wa mie, kwanza kabisaaa naombeni niwaambie kuwa mie mambo ya ''project'' yashanikinai kabisaaaa, mwanzoni yalikuwa na mvuto hatareeee ila sasa kama waiiii, hata hayasisimui tena so msishangae kuniona kimya siyaongelei, ni kwamba bado namsubiria kaka ''Diamond'' aje kivingine!!
Leo naomba tuhamie kwa Shishi baibbbyyy a.k.a Shilole kiuno a.k.a muke mtarajiwa wa Nuh Mziwanda na tuache roho za kwanini, tumpe pongezi zake kwa kuvalishwa pete ya uchumba... Ama neneee (in Wema Sepetu's voice)
Matukio yote in Video...
Mie binafsi nakutakia kila la heri kwa hatuo hiyo mwaya, Inshallah Mungu awasaidie mfikie ndoa salama na mzeeke pamoja...
Achana na waliokosa hata wa kuwavalisha iyo pete, kila siku oooooh, jimama ooooh serengeti boy.. nyoooo!!! Na wewe si ukatafute serengeti wako akuvalishe pete bi.shost uondoe hata nuksi... Tusemage ila alishachumbiwaga??!! (In my funny voice) Hahahahaahaa!!!
Acheni hizooo, la sivyo mtabaki tuu kudandia waume wa watu (kama mlivyozoea eeeh??!!) badala mtafute vijana wenzenu muanze nao maisha...
Naamini it's every African-woman dream kuwa mke wa mtu ila kama kwako unaona kweliiii imeshindikana kabisaa na ndio kwanzaa unaanza kuwa mzee basi kaa kimya watu wakiwapata wa kuwaoa, tena utulie na utafute plan B kimya kimya...
Ni hayo tuu kwa leo... Kama kimekugusa basi poleeee shogaa, endelea kuomba Mungu, inshallah atakufikiria na wewe, by the way kwani how old are you??????!!!!!!
Hahahahahaahahaa..
Bye!!!
Nawapenda hadi napata raha!!!
XOXO...
No comments:
Post a Comment