This post come to you with deep love from GF-Boutique and GF Min-Depot....
Enjoy my look In my hubby's shirt...

I love what I see...

Usipojikubali hata picha hutaweza kupiga atiii... Sasa si bora tuu uwe unachungulia hizi zangu ambazo hazina kiingilio wala hulipii VAT.... Bundle lako tuu ya Internet-promoshen, hahahahaahaa!!

Diet is still On.. Na dalili nzuri kuwa napungua ni kuweza kuvaa my mume's shirt na kulifunga kabisaaa... So, yeah!! I'll have a sweet-sixteen's body soon!!

Mad Love...
XOXO!!
Safi sana
ReplyDelete