It's a very busy holiday week eeh... Yaani kila mtu yupo busy, mji umechangamka and I like the feelings.. Inaonekana it's realy a holiday week..
Let me take this chance to wish you all maandalizi mema ya sikukuu maana tayari it feels like X-Mass!!!

X-Mass mode = ACTIVATED

My Fashionista In X-Mass week swagger!!!

A million dollar pose!!!

Nampenda huyu apa....

Ready kwenda kununua mapambo ya X-Mass tree...

My doll is better than yours!!!

Love you all...
Thanx for stoping by...
XOXO!!!
Aaaaawwweee ila fay ananichanganyaga huyu mtoto duh.. mi nakupenda bure tu lv wangu
ReplyDelete